Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

Najaribu kufikiria kama huyu mwanamke alikuwa anajijua hana kosa kwanini alipomuona Mumewe kaja hapo Bar alianza kutoka ndukii

The Finest..kukimbia kwa huyu dada kunaweza kusababishwa na mengi
1. Pengine walikuwa na ugomvi nyumbani so kumwona bar akajua atatembezewa kichapo
2. Pengine anajua mumewe ana hasira sana na huwa si mwelewa kirahisi (Ingawa hapa hakupaswa kabisa kumchezea simba masharubu) akaona akimbie ili baadae wakaeleweshane mbele kwa mbele bila kuaibishana
3. Pengine kweli alikuwa ana makosa - kukaa na huyo mwanaume bar!

So kumjudge tu moja kwa moja si kumtendea haki....ukweli wa hili jambo wanaujua wenyewe.
 
Yawazekana maana pia hii habari inasema walikuwa na msuguano hapo kabla mauti hayajamkuta huyu marehemu mumewe, amyways kama ulivyosema ukweli wa jambo hili analijua mke wa marehemu maana jamaa tayari ndio hivyo kaishajiua.
 
Afisa Mipango unamfuatilia mkeo baa saa tatu usiku na ukiwa "armed"? - Stupid! - This fellow was LEGALLY INSANE!
 
Yawazekana maana pia hii habari inasema walikuwa na msuguano hapo kabla mauti hayajamkuta huyu marehemu mumewe, amyways kama ulivyosema ukweli wa jambo hili analijua mke wa marehemu maana jamaa tayari ndio hivyo kaishajiua.

Hii habari nimeisikia tangu jana yaani nimejikuta nawaza mambo mengi sana utadhani yanihuu.....yaani ngoma si yangu lakini nimeivalia kibwaya karibu usiku kucha.........

...............unakumbuka mwaka flani Arusha, bwana mahesabu mmoja alimshoot mkewe kisha akajishoot na yeye......... Hawa hawakuwa na ugomvi kabiosa but mke (yeye alibahatika kupona kwani alishootiwa kwenye bega kama nakumbuka vizuri)........alisema kuwa bwana alikuwa na matatizo kazini!!. Sasa hivi hizi silaha duh......kwa nini zisiwe zinauzwa kwa mtu baada ya kumfanyia assessment ya nguvu including mambo ya hasira, uwezo wake wa kuhimili vishindo n.k n.k??

Nawaza tu mie mambo ya sheria wala silaha siyajui.
 
hii kwa kweli ni ngumu kumeza. dogo wa miaka 28 kujiua kwa ajili ya maza wa miaka 34!!!!!hapa kuna namna aisee maana dogo alikua na choices za kutosha ukizingatia katoka korea masomoni miezi michache tu iliyopita ambako alikaa zaidi ya mwaka.
 
Jana kulikuwa na thread inayouliza swali kama hilo, ukimkuta au kujua mpenzi wako ana affairs utafanya nini!

Hili ni moja kati ya majibu ya thread ya jana
 
Kwa kweli hakuna comment hapo, inategemea na hali utakayokuwa nayo. Lakini hatua ya kutoa uhai wako ni psychiatric state, na huwezi kumlaumu mtu! This nis beyond his/her control. Mimi nikimkuta mdada anannibia jamaa yangu kwa kweli naweza kumtoa roho!
 
jamaa aliwaona bar akapotezea, akawaacha, sasa usiku ktk mizunguko akaliona gari la mkewe, akasogea akawakuta wanafanya mambo yao kwenye gari, jamaa akagonga kwenye dirisha la gari. Mwanamke akawasha gari nduki! Jamaa akaanzamfukuzia mwanamke kufika kwa shosti wake akakuta geti limefungwa, kashuka aingie ndani mshikaji kesha fika tayari, akampa risasi kadhaa, mwanamke kadondoka kazirai, mwanaume si akadhani kaua? Akajilipua na yeye. Mshikaji kafa wkt mwanamke kasalimika bt yupo Hospital ICU akipata matibabu!
 
Women are so innocent, so pristine, and so wholesome to even think of cheating on their men. I refuse to accept that proposition.
NN bana lol, hapa naona unapima oil au sio? Hivi somo wako kapotelea wapi siku hizi??? I mean NN (NoName)
 
Maskini kaka wa watu alishindwa kuvumilia , ?
Dah unakatili maisha yako na kuacha aliyekusababishia anatanua
Laah kweli mapenzi kizunguzungu
 
jamaa aliwaona bar akapotezea, akawaacha, sasa usiku ktk mizunguko akaliona gari la mkewe, akasogea akawakuta wanafanya mambo yao kwenye gari, jamaa akagonga kwenye dirisha la gari. Mwanamke akawasha gari nduki! Jamaa akaanzamfukuzia mwanamke kufika kwa shosti wake akakuta geti limefungwa, kashuka aingie ndani mshikaji kesha fika tayari, akampa risasi kadhaa, mwanamke kadondoka kazirai, mwanaume si akadhani kaua? Akajilipua na yeye. Mshikaji kafa wkt mwanamke kasalimika bt yupo Hospital ICU akipata matibabu!

You see!! kama ni kweli basi kuna sababu lakini si kumkuta kakaa tu bar. pole marehemu, poleni wafiwa
 
jamaa aliwaona bar akapotezea, akawaacha, sasa usiku ktk mizunguko akaliona gari la mkewe, akasogea akawakuta wanafanya mambo yao kwenye gari, jamaa akagonga kwenye dirisha la gari. Mwanamke akawasha gari nduki! Jamaa akaanzamfukuzia mwanamke kufika kwa shosti wake akakuta geti limefungwa, kashuka aingie ndani mshikaji kesha fika tayari, akampa risasi kadhaa, mwanamke kadondoka kazirai, mwanaume si akadhani kaua? Akajilipua na yeye. Mshikaji kafa wkt mwanamke kasalimika bt yupo Hospital ICU akipata matibabu!

Inasikitisha sana ....
 
Hii habari nimeisikia tangu jana yaani nimejikuta nawaza mambo mengi sana utadhani yanihuu.....yaani ngoma si yangu lakini nimeivalia kibwaya karibu usiku kucha.........

...............unakumbuka mwaka flani Arusha, bwana mahesabu mmoja alimshoot mkewe kisha akajishoot na yeye......... Hawa hawakuwa na ugomvi kabiosa but mke (yeye alibahatika kupona kwani alishootiwa kwenye bega kama nakumbuka vizuri)........alisema kuwa bwana alikuwa na matatizo kazini!!. Sasa hivi hizi silaha duh......kwa nini zisiwe zinauzwa kwa mtu baada ya kumfanyia assessment ya nguvu including mambo ya hasira, uwezo wake wa kuhimili vishindo n.k n.k??

Nawaza tu mie mambo ya sheria wala silaha siyajui.
Nakumbuka it was a sad story
jamaa aliwaona bar akapotezea, akawaacha, sasa usiku ktk mizunguko akaliona gari la mkewe, akasogea akawakuta wanafanya mambo yao kwenye gari, jamaa akagonga kwenye dirisha la gari. Mwanamke akawasha gari nduki! Jamaa akaanzamfukuzia mwanamke kufika kwa shosti wake akakuta geti limefungwa, kashuka aingie ndani mshikaji kesha fika tayari, akampa risasi kadhaa, mwanamke kadondoka kazirai, mwanaume si akadhani kaua? Akajilipua na yeye. Mshikaji kafa wkt mwanamke kasalimika bt yupo Hospital ICU akipata matibabu!
Aisee
 
Mapenzi yasiyo na msingi ni ushenzi. Jamaa mwenyewe(mwizi ) alikuwa friend wa karibu na marehemu, na mwanzoni pindi maneno juu ya hayo mahusiano yalipoanza kuzagaa mwanaume (marehemu) alimfata na kumwuliza then akamwonya. Ktk ile kukimbizana usiku jamaa(mwizi) ashukuru alishushiwa njiani, vinginevyo ingemkumba na yeye. Kwa taarifa za kuaminika zinasema jamaa (mwizi) kwa sasa ni mwanafunzi wa st.john's university ambaye kikazi ni Askari polisi. Mpaka sasa yupo kituoni anachukuliwa maelezo na polisi, pia amehifadhiwa kwa usalama wake!
 
Ohooooooooo now I get it.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom