Ofisa Mipango Chamwino ajiua.... baada ya kumshika mke na lijamaa

Hahahaha nikucheke na wewe .Naweza sema naelewa uchungu wako ,sawa na waTZ wengi tuu nawanao tuhumu watu kwa maneno ya kusikia .Kama una data kamili unashindwaje kujua Vicky kajeruhiwa ?, inaoneysha unapend akudandia habari bila kupata facts . Eti gari limetumwa, eti mimba, hiyo si cheating kama alivyo kuwa na cheat wakati kaolewa na Deo ambapo huyu Freddy alikua mmoja wa wapenzi wake.
Haya una data toa hizo data Deo huku uhusiano wa Vicky na kifo cha Deo , umeshindwa kueleza Vicky alipo na hali yake ikoje, utajua Deo kauliwaje?

Acha porojo, kama una uchungu , kaa na uchungu ila sio kuhisi vitu ambavyo havipo, .hakuna plan ya mauaji halafu eti anaye panga ajipige risasi kujijerhi ili athibitishe mume kajiua wakati alipo jaribu kuua, sio uwezo wa Vicky huo.

Marehemu Fredy ana uwezo wa kuua ,kwani kaisha jaribu kumuua Vicky na kujiua yeye kwa wivu na hasira! Haitashangaza kujua ni yeye ndio aliye muua au kutuma watu kumuua Deo ili aweze kuoana na Vicky sababu ya kumpenda na kutoa kubali kumkosa kwa njia yeyete ndio maana akataka kumua Vicky na kujiua yeye ili wakose wote!

kwa maelezo yako VIKY najua FREDY ni muuaji, ina maana yeye viky hapendi kuishi,
je sio kwamba kafanya mbinu kumpoteza jamaa ili hawa na amani?
mimi naona wewe ndio umelikoroga kabisa kwa kujaribu kumtetea mtu unayempigilia msumari ya utosi
 
Hahahaha nikucheke na wewe .Naweza sema naelewa uchungu wako ,sawa na waTZ wengi tuu nawanao tuhumu watu kwa maneno ya kusikia .Kama una data kamili unashindwaje kujua Vicky kajeruhiwa ?, inaoneysha unapend akudandia habari bila kupata facts . Eti gari limetumwa, eti mimba, hiyo si cheating kama alivyo kuwa na cheat wakati kaolewa na Deo ambapo huyu Freddy alikua mmoja wa wapenzi wake.
Haya una data toa hizo data Deo huku uhusiano wa Vicky na kifo cha Deo , umeshindwa kueleza Vicky alipo na hali yake ikoje, utajua Deo kauliwaje?

Acha porojo, kama una uchungu , kaa na uchungu ila sio kuhisi vitu ambavyo havipo, .hakuna plan ya mauaji halafu eti anaye panga ajipige risasi kujijerhi ili athibitishe mume kajiua wakati alipo jaribu kuua, sio uwezo wa Vicky huo.

Marehemu Fredy ana uwezo wa kuua ,kwani kaisha jaribu kumuua Vicky na kujiua yeye kwa wivu na hasira! Haitashangaza kujua ni yeye ndio aliye muua au kutuma watu kumuua Deo ili aweze kuoana na Vicky sababu ya kumpenda na kutoa kubali kumkosa kwa njia yeyete ndio maana akataka kumua Vicky na kujiua yeye ili wakose wote!

hoja zako juu na chini kama zinagonga vile, unakuwa kama unatete yale unayopinga kutoka kwa sniper
unaposema mume anakuja na kutoka na kuingia mwingine inatia shaka kidogo

Unasema ana husika? , huku akiwa hospitali akibembelezwa tena na wamama aende kuaga mwili , inamana huyo police walipanga naye wamshoot ili kupoteza ushahidi? ,kama una hiyo habari hebu tupe ushahidi wa plan ilikuaje .

Sioni sababu ya kumuaga mtu aliye taka kukuua , huyo hakua mzazi wake wala damu yake ni mume tuu,muma anaweza akaja mwingine kama alivyyo kuja Freddy baada ya Deo Kuuwawa. Vicky ana haki zote za kukataa kwenda kuaga, kwani sidhani kama huyo dada hajui kua Freddy naye alikua na mademu, mbona yeye haja muua Freddy? Au uniambie Freddy alikua Mtakatifu hajawahi cheat na Vicky kujua hilo, wote walikua moto chini tusidanganyane!

Kifupi Fredy ni Mpumbavu, mchoyo na mwenye roho mbaya, kwanza kwa kataka kuua, pili kajiua ,tatu hakufikiria uchungu na mateso na hali ngumu ya maisha atakayo waachia wanao mtegemea , huo ni Uchoyo ulio kubuhu ndio maana sisemi Rest In peace!
 
Kifo cha huyu bwana kimejaa utata sana, Ukweli utafahamika tu, hebu tujipe muda!
 
Huwa najiuliza watu wanaojiua kwa wivu wa mapenzi kama huyu huwa wanakuta nini cha mno humo nanihii?nadhani hii inasababishwa pia na kujulia mapenzi ukubwani na kusikilizia ile kitu badala ya kupotezea fasta.
 
Haswa ni tatizo la kisaikolojia !
 
kuna juhudi za mambwiga humu kutaka kupaint picture kama huyo kaka amejiua kutokana na wivu wa mapenzi...get it straight,amejiua baada ya kugundua/kudhani ameua!!!.....sio kama aliwaona hao wagoni wake na kujipiga risasi hapo ndio mngeleta blah blah zenu kuwa ni wivu wa mapenzi.......
 
Wewe umejuaje?
 
Ngabu wee wa ajabu wanawake hawacheat kwanini? wanawake si ni binadamu sawa tu na wanaume? Kama kuna mwanaume mwenye akili basi pia yupo mwanamke mwenye akili. Kama kuna mwanaume *****, basi pia mwanamke *****. Kwa kifupi tabia zote mbaya kwa nzuri haina mwanamke au mwanaume.
 
Huwa najiuliza watu wanaojiua kwa wivu wa mapenzi kama huyu huwa wanakuta nini cha mno humo nanihii?nadhani hii inasababishwa pia na kujulia mapenzi ukubwani na kusikilizia ile kitu badala ya kupotezea fasta.

Lakini kumbuka wahenga walisema MAPENZI YANAUA.
But is very sad mkaka alikuwa bado mdogo kabisa, simjui Fred but nimeumia sana
 
we we weeee,ishia hapo hapo,ndo unavyojidanganya hivyo,mimi tu hapa mke wa mtu kaniganda mbaya,huwa nachakachua kiaina,sasa hawachiti vp?au waolewe kabisa mara mbili?

Ni kweli huwak wenye ndoa tunaishi kiroho ngumu tu utafanyeje ilimradi tu mali hazijaachwa huko bali zimerudi naye. Huwezi kuchunga hawa watu na inabidi tu mtu awe mpole la sivyo utapata pressure bure.
 
Utata umesha fahamika Freddy kajiua na ndio maana kiko kimya mbaka sasa , ukweli ndugu zake na watu wakaribu wanaujua na hawaongei,sababu ni aibu!

Ni mapema mno kusema kwamba ndugu na watu wa karibu wa Freddy wamekubaliana na hali halisi......Eti 'hawaongei kwa sababu ni aibu'......

Subiri ishu za msiba ziishe utaona nini hao unaosema wanaona aibu watakifanya....

Jiulize ni kwa nini kila mtu anakuwa na mashaka na kifo cha Freddy?.....

Ukweli ni kwamba kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia juu ya msiba wa Freddy.......Itajulikana tu,ni suala la muda tu......

Naona magazeti ya kibongo yananakili tunayoyajadili humu na kuyaweka kwenye front page bila hata kueleza kwamba source ni JF,mfano ni gazeti la SANI la tarehe 01/06/2011 wamenakili kila kitu bila hata kutoa 'credits' kwa JF!!!!!!!!
 
Nadhan kuna haja ya kuwa na chombo maalumu cha kuenforce law vizuri, maaskari mean mapolisi wameprove kushindwa ktk hili. Wenzetu USA wana Public prosecutors na state attorneys very active, ni department mhm ktk kutoa justice!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom