Elections 2010 Official Poster Ya Dk. Willibrod Slaa Hii Hapa

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
attachment.php


Tumwamini Tunamhitaji

RAIS

Dk. Willibrod SLAA

2010 CHAGUA CHADEMA

Source: Tanzania Daima - Jumamosi Agosti 28, 2010
 

Attachments

  • Dr. Slaa Poster.jpg
    Dr. Slaa Poster.jpg
    37.3 KB · Views: 309
Sasa Kumekucha . . . . Uzinduzi wa Kampeni ni leo, viwanja vya jangwani kuanzia Saa 7 Mchana . . .
 
Imetulia,ujumbe mfupi na tena straight forward.
Ambaye hataulewa ana yake
 
I wish hii "2010 CHAGUA CHADEMA" ingekuwa "2010 HATUDANGANYIKI TENA - CHAGUA CHADEMA, CHAGUA SLAA"
 
Wangenipa picha yake ningetengeneza NZURI zaidi ya hiyo, tena BURE! Poor design, in my own opinion, lakini kwa Tanzania inatosha. Ni bora mara 100 zaidi ya hiyo ya JK!

Hivi walipokaa kamati na kuchagua picha ya JK, hawakuona kwamba JK akitabasamu na kukenua meno yake anaonekana kwamba ANAWAKEJELI watu? Bora hata meno yasingeonekana. Ninavyomwona mimi, ni kama vile anasema: Angalieni wapuuzi hawa, watanichagua tu!

Hahahaha!

JK, imekula kwako! LOL Hiyo poster itakukosesha kura nyingi sana!
 
Imetulia,ujumbe mfupi na tena straight forward.
Ambaye hataulewa ana yake

Haaa haaa . . . Kamanda yuko katika Combat . . . . hiyo nayo inaongeza tafsiri ya Poster . . . . Ule umati wa watu pia katika background, umetulia.
 
Najua mnajua na msiojua mjue, na wengi watazidi kujua na hata CCM WANAJUA Kuwa CHADEMA IKO JUU. Habari ndio hiyo.
 
Back
Top Bottom