official picha ya rais wa zanzibar

Dk.Shein_.jpg

Picha si mbaya ila haikujazwa vizuri imeacha nafasi kubwa juu ya kichwa.
 
Ahsante mwana FB kwayo picha nitaiprint na kuiweka kwenye frame nikusanye pesa nchi hii safi sana hakuna kufuatana.
 

Picha iko Poa tu

Sasa sielewi nini watu wengine mnachojibizana kana kwamba hamjui kuwa ni kuchangia kama picha hiyo iko sawa au raah au mna ubaguzi??? ingekuwa ya JK duuuuh maneno yange kuwa mengi ya kuponda na kushabikia jamani khaaa

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom