Office za Takukuru..!

Skillionare

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
1,190
523
Wakuu heshima mbele,naomba kujulishwa office za takukuru makao makuu hapa Dar,shukrani!
 
Mtaa wa upanga na kalenga near makao makuu ya jwtz nadhani ukifika maeneo hayo ukimuuliza mtu ambaye ni mwenyewe atakuonyesha.
 
Vıpı umeombwa mlungura mahalı nını umeamua kwenda kutoa taarıfa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom