Office application software for mobile phones

DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,310
296
Wakuu
Ninegependa kupata office applications kwa ajili ya simu yangu ya mkononi
I currently use a nokia n81 8Gband would wish to work with or be able to open office application files like Word, Excel, PPt. It however has Adobe Pdf.

Kingine ni kwamba nataka kujua kama inawezakana nikaitumia simu hii kuconnect to the internet na nikapata display on my laptop ambayo iko offline? how can this be achieved?

Please assist
 
Nenda google,alafu search gsmhosting, kisha jisajili kwenye hii website.utapa software zote. Kwa kutumia nokia pc suite nirahisi kutumia simu yako kama moderm.Install hii software kwenye kompyuta alafu fuata maelekezo.
 
Thanks mkuu let me try, will get back!
 
Thanx mkuu
ila nimeshindwa kusign. How do i do that?

Ok! Dowload files, soma read me file kwa umakini sana baada ya kukamilisha utaratibu huo utaweza kuinstall apps bila kusign, utaratibu huu unaitwa 'hack your phone without pc' nimetumia utaratibu huo ktk simu yangu n95,8gb .
http://is.gd/h9pl
http://wap.z51.biz/wapz51v3/dl.aspx?file_id=28610
http://wap.z51.fr/wapz51v3/dl.aspx?file_id=30829
http://is.gd/oAi
http://wap.z51.biz/wapz51v3/dl.aspx?file_id=31083
Kazi njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom