Bashe kama MD ametangaza msibani kuwa mjane ataendelea kupokea mshahara wa mumewe kwa miaka mitano,na dependants wawili wa shule ya msingi na wa chuo wataendelea na masomo kwa hisani ya habari cooperation.
RA anaitaji pongezi kwa ilo
Source :ch ten 19hrs news

Utaratibu wa hivyo sijawahi kuusikia mahali popote wala katika sheria yoyote ya kazi au pension. Hata hivyo inaonekana kwa nje kama jambo linalopendeza machoni na kusikika vizuri masikioni, lakini kuna ukweli katika hilo? Je, ni sera ya kampuni inasema hivyo au ni matamshi ya kwenye jukwaa? Je, kuna mkataba utakaosainiwa ili kampuni iweze kuwajibishwa baadaye? Je, kampuni ikifa katika kipindi hicho, nini kitakuwa hatima ya mjane?
isije ikawa ni pr tu hiyo
mnyonge, mnyongen lakini haki yake mpeni, RA kafanya jambo linalostahili pongezi, nina iman mjane wa mwakiteleko ndo ana nafasi Nzuri ya kulielezea hili
Isiwe favor, iwekwe kwenye policy ya kampuni, ndipo nitamsifu!Safi sana, hii imetulia.
Utaratibu wa hivyo sijawahi kuusikia mahali popote wala katika sheria yoyote ya kazi au pension. Hata hivyo inaonekana kwa nje kama jambo linalopendeza machoni na kusikika vizuri masikioni, lakini kuna ukweli katika hilo? Je, ni sera ya kampuni inasema hivyo au ni matamshi ya kwenye jukwaa? Je, kuna mkataba utakaosainiwa ili kampuni iweze kuwajibishwa baadaye? Je, kampuni ikifa katika kipindi hicho, nini kitakuwa hatima ya mjane?
Ni jambo jema, binafsi limenifurahisha. Lakini watekeleze ahadi, maana baada ya msiba, watu wengi husahau ahadi na majumuku waliojipangia au kupangiwa.
Mh huyu aliyekufa ni mfanyakazi wa RA alikuwa ? Wengine hatumjui sasa kuleta habari za upande mmoja si safi
Hana lolote huyo,lengo lake siyo kusaidia familia bali ni kujitakasa mbele ya jamii,anataka kupunguza makali ya mabaya aliyoyatenda!
Bashe kama MD ametangaza msibani kuwa mjane ataendelea kupokea mshahara wa mumewe kwa miaka mitano,na dependants wawili wa shule ya msingi na wa chuo wataendelea na masomo kwa hisani ya habari cooperation.
RA anaitaji pongezi kwa ilo
Source :ch ten 19hrs news
rostam ana ubinadam gani mkuu, unamuomba mungu amzidishie rostam unajua rostam hupata mengi ya mapato yake kwa kutufix, kwa maana halisi unamuomba mungu atutie ujinga ili ra azidi kuneemeka kwa mali zetu watz, nawa uso wako kisha fikiri upya, ikiwezekana futa maombi yako kwani mungu akikusikia utakuwa umetumaliza.Nawapongeza Rostam na Habari Corp kwa moyo wa ubinadamu usio na kifani. Mungu awabariki na awazidishie.