Offer ya Rostam kwa familia ya Dan Mwakiteleko

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Bashe kama MD ametangaza msibani kuwa mjane ataendelea kupokea mshahara wa mumewe kwa miaka mitano,na dependants wawili wa shule ya msingi na wa chuo wataendelea na masomo kwa hisani ya habari cooperation.
RA anaitaji pongezi kwa ilo
Source :ch ten 19hrs news
 
ishu siyo kupiga magoti ni kumpeleka PCCB huo ndiyo uwajibikaji. hana jimbo huyo 2015
 
Bashe kama MD ametangaza msibani kuwa mjane ataendelea kupokea mshahara wa mumewe kwa miaka mitano,na dependants wawili wa shule ya msingi na wa chuo wataendelea na masomo kwa hisani ya habari cooperation.
RA anaitaji pongezi kwa ilo
Source :ch ten 19hrs news
Hizi ni habari njema kwa familia ya marehemu kwani watu huwa wanauchungu wa kuondokewa na mpendwa wao pamoja na mchango au msaada wake katika maisha yao. At least machungu ya kwenye mchango wake yatapungua ingawa hayawezi kuisha. Mshahara utakuwa unaongezeka katika kipindi hicho cha miaka mitano?

Poleni sana wafiwa na mungu awatie nguvu katika wakati huu wa majonzi
 
Ofcourse huitaji kupata mshauli kutoa offer kama iyo ukimwangalia RA na namna wananchi wanavyomchukulia so it is just a strategy towards uadilifu ingawa its a long way to go
All the best RA ikifika billioni angalau 100 nitatoa pongezi zangu
 
Ni jambo jema, binafsi limenifurahisha. Lakini watekeleze ahadi, maana baada ya msiba, watu wengi husahau ahadi na majumuku waliojipangia au kupangiwa.
 
Mh huyu aliyekufa ni mfanyakazi wa RA alikuwa ? Wengine hatumjui sasa kuleta habari za upande mmoja si safi
 
Back
Top Bottom