Off we Go!

haya Mialiko inazidi kupamba...
Na mimi nasema hivi, Jumamosi tarehe 2 August kuna kitu kinaitwa Caribana hapa T dot (Toronto) huwa wanakuja tourist (African Americans) kama millioni na nusu. Mji huchukuliwa na ngozi nyeusi kwa week nzima, Sunday kuna cruise boat yaani ni kujichana tu..
Sasa nawaomba wale wote ambao hawana matatizo ya Uhamiaji mnakaribishwa sana. Nina hakika Hotel zote mjini huwa zinajaa kwa hiyo nipigie simu mimi mapema nitakuwa mwenyeji wenu.. msiwe na wasiwasi maadam niijue number ya watu watakao kuja..

Karibuni Toronto...mji wa wazaramo (mdundiko)!

Aisee Bob mimi ninatakaja kuja huko T-Dot vacation....ntakutafuta muda ukikaribia....
 
Geeque na Mkandara.. kama kuna accessibility ya hiki kitu miye nitatinga tu.

mobility%20wheelchairs.jpg
 
Nyani Ngabu,
Mkuu karibu sana!, yaani mji utawaka moto!...
GQ na Mwanakijiji nawategemea kwa hiyo msije chomoa dakika za mwisho!
 
Back
Top Bottom