Ofa X.mass punguzo la bei G.House

Mpwa hii nilipiga Usalule katika harakati za kucheck album nimeikuta alinipiga Kaizer

Wakati unaipiga hiyo, ulikuwa umeshaichakachua ile nyagi yangu na lile jimama lenye ujauzito?:embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Jamani jana tumepita kwenye hii Guest bahati mbaya ilikuwa full toka asubuhi
 
Nimeishafanya booking ila chumba changu nasikia kinatumika vibaya sana per day zinakuja infii si chini ya 15
 
Nimeishafanya booking ila chumba changu nasikia kinatumika vibaya sana per day zinakuja infii si chini ya 15

Inatakiwa kabla ya kwenda unapiga cmu ili waliomo ndani wagongewe kwa taarifa kuwa muda umekwisha wa kumegana
 

Kuelekea X.Mass Nshanga G.House wameamua kupunguza bei ili Infii muenjoy sana.

Inabidi muwahi mapema infii maana panawahi kujaa mapema sana.

Hapa mzee unachukua vitatu halafu huviachii mpaka ter 30/12
 
Back
Top Bottom