Ofa ofa ofa kamambe !

ABEDNEGO

Senior Member
Aug 20, 2009
109
30
WanaJF ;TTCL wametoa offer kamambe tangu saba saba, Na sasa bado inaendelea pale Ubungo Plaza(TTCL Office).Wanatoa simu za mezani(CDMA) zile zenye modem wireless BURE.Unachotakiwa ni kununua voucha ya shillingi Elfu Kumi ambayo itawekwa ndani ya simu yako , pia uwe na kitambulisho kwa ajili ya kusajili mtandao wako. Hakika watu ni wachache wanaojua ofa hii,Wewe ni wa muhimu kuwahi. Zaidi ya yote kuna ofa ya BANJUKA ambapo utasurf kwa shilingi 500/= kwa saa wakati wa usiku kuanzia saa tatu hadi asubuhi.

WAHI SASA BILA KUCHELEWA KUNA HANDSET ZIPATAZO 4,000 TU.
 
Back
Top Bottom