OCI ya CHADEMA huko Igunga yaendelea kuchanja mbuga vijijini

mkuu hata mimi huyu jamaa namweshimu lakini wakati mwingine anakuwa kama mtoto mdogo
kivipi? siku hizi hautakiwi uwe mnoko all the time.. dingi wanoko washapitwa na wakati. nimemjibu jamaa kwenye post za nyuma huko
 
Je huoni kuwa kufanya mikutano sasa hivi wakati hilo jimbo liko wazi sio kuvunja sheria?.Je hiyo haitaonekana kama ni kupiga kampeni kabla ya uchaguzi?


Jamaa yangu are you serious na comments zako hizi au unatania ?Hebu niweke sawa kaka
 
Je huoni kuwa kufanya mikutano sasa hivi wakati hilo jimbo liko wazi sio kuvunja sheria?.Je hiyo haitaonekana kama ni kupiga kampeni kabla ya uchaguzi?
NEC wamesema wanamtambua rostam kama mbunge halali coz hawana taarifa zake za kujiuzulu so kwa mantiki hiyo HUWEZI KUPIGA KAMPENI kwenye jimbo ambalo lina mbunge madarakani.So hizo meetings za cdm zinaciz kuwa kampeni!
 
Mkuu haiwezi kuwa OIC operation igunga for Chadema?

Hivi kwa nini mnang'anga'ania iwe OIC. Si bure. Kwani ikiwa hivyo OCI inatatizo gani. Suala ni kifupi na kirefu cha operesheni au dhamira, nia, sababu na uwezo wa kuchukua jimbo hilo? Afterall ya kwako haina mantiki kabisa, yaani CHADEMA wawafuate watu wa Igunga na vijiji vyake kwa slogan ya 'kidhungu' ili iweje, kwa faida ya nani! Mkuu hiyo haina maana yoyote.
 
Kuna tetesi kuwa RA katia mkono wake kwenye OCI. Cha msingi CDM, tuhakikishe jimbo tunaliweka kibindoni.

Mkuu naona unaanza kutumia inferences za magamba katika kujenga hoja na kufikia conclusion. Kuwa makini na waraka anaotengeneza Nape. Naona sumu yake imeanza kukuingia kabla hata hajautoa. Eti akina RACHEL wana uhusiano na CHADEMA! Never on earth brother. Hata wao wanajua wanaweza kwenda kokote au bora kubaki CCM lakini hawawezi gusa CHADEMA.
 
Mambo mazuri sana na kwa OCI naamini itakuwa, kwani ni vichwa tu! Mungu ibariki CHADEMA Mungu ibariki Igunga pia Tz
 
hao OCI wanahela? au ndio wanapeleka maneno matupu tu. CDM haiwezi chukua igunga nyie. Anatoka Rostam anaingia ndugu yake,subirini mtayaona
 
Back
Top Bottom