OCD ampiga risasi mhadhiri SUA

tatizo wabongo wanajifanya wana hasira,ukigonga ukakaa watakupiga,kuna watakaochukua vioo vya sight,pochi,simu e.t.c.so sometimes ni beta kukimbia

Kaka Hiyo avatar yako inafaa sana kwa siku hizi tena huyo alompiga mwenzake kwenye makalio zinatakiwa kumfikia, Matumizi mabaya ya rasilimali za taifa!

tatizo wabongo wanajifanya wana hasira,ukigonga ukakaa watakupiga,kuna watakaochukua vioo vya sight,pochi,simu e.t.c.so sometimes ni beta kukimbia

OCD ni mtu wa usalama, huyo jamaa hakupaswa kukimbia! Hii stori imekaa kimtego sana, na maelezo tunayoyapata humu ni ya hearsay, mpaka hapo tutaposikia kauli ya huyo mwalimu na OCD mwenyewe (mahakamani). Huenda ticha ni mkosaji na OCD ni mwanausalama hivyo hapaswi kufuma macho mhalifu anatimua, ama huenda kuna ishu nyingine pasono kati ya wawili hawa!

how come risasi itoke kwenye tairi hadi makalioni? Huyo kamanda alikuwa kwenye engo gani alipokuwa akipiga hiyo risasi?

Hata mie nimeshangaa sana maelezo ya kujichanganya kama hayo. Mtu kapanda gari, then tairi ya gari inapigwa risasi, then risasi inampiga mtu kwenye makalio, how come? Kuna maelezo yanafichwa hapa!

how come risasi itoke kwenye tairi hadi makalioni? Huyo kamanda alikuwa kwenye engo gani alipokuwa akipiga hiyo risasi?

hapo hata mimi nimeshindwa kuelewa,maana jinsi inavyoripotiwa ni kwamba Polisi alikuwa nyuma,sasa alipigaje tairi la mbele halafu risasi ikaja hadi kwenye makalio ya Lecturer? Something is wrong here?

Hata kama alimpiga risasi ya makalio ni sawa, tusiwe na huruma za kinafiki, kwa nini amgonge mtu halafu akimbie, maana yake bila kuwepo huyo OCD huyu aliyegongwa angeachwa bila msaada wowote, hongera sana OCD kwa kuonyesha unaipenda kazi yako

Halafu jambo la kushangaza, ina maana hiyo risasi ilipoingia kwenye makalio damu haikutoka mpaka amepelekwa kituo cha polisi na hali yake ndio ikagundulika kuwa mbaya? Halafu ukiangalia mazingira ya ajali na kufukuzana bado haijakaa vizuri. Ajali imetokea maeneo ya Forest, halafu wakawa wanakimbilia maeneo ya Forest, aliyepiga risasi alikuwa anamfukuza kwa nyuma. Akafanikiwa kupiga risasi gurudumu la mbele na hiyo risasi ikapenya mpaka kwenye makalio.

Mi nadhani kwa mkao wa kwenye gari kama dereva, miguu ndio ipo karibu na gurudumu la mbele kuliko makalio. Halafu uchunguzi ufanyike ni risasi ngapi zilitumika. Hata kama ni OCD huwezi kuwa na shabaha kiasi cha kulenga tairi na makalio all with the same bullet.

:grouphug::mod::A S-rose:Hongera OCD huo ndiyo uzalendo,hata kama siyo kituo chako cha kazi,ukiona uhalifu chukua hatua mtuhumiwa akiresist use reasonable force hiyo ndiyo falsafa ya usalama ,hata ungeua hakuna shaka kuliko kuacha mtuhumiwa aende untouched:A S-rose:
Hayajakukuta, tafadhali jaribu kubadili mtazamo wako juu ya dhana ya uhuru wa polisi kufanya chochote watakavyo bila mipaka.

Huyu bwana sio jambazi hakuwa na silaha hakuambiwa simame hakutoa silaha aina yoyote au hata bisibisi kwa nini anayefukuza atumie silaha kubwa?

Huu ni utani mbona hatujaelezwa huyo mpanda baiskeli nini kiliendelea baada ya kugogwa sijaona hapo au nimeangalia vbaya?

link nyingine ya kushangaza ni kuwa OCD anampiga risasi mtu anampeleka polisi na kumuweka rumande, baadaye akiwa pale rumande polisi wanagundua hali yake inakuwa mahututi ndio anapelekwa hospitali.

Polisi mzoefu hawezi kamwe kupiga risasi mtu na kumuweka rumande bila kuhakikisha extent ya injuries. Something is missing here.

OCD wa Kibondo, eneo la tukio Morogoro, maelezo hayaridhishi sana.

Hii ni hadithi ya funika kombe mwanaharamu apite.

There is more in this story more than what meets the eye. An independent investigator should deal with this case.

Naunga mkono hoja!kuna kitu zaidi ya hiyo! Uchunguzi huru wahitajika!

hapo ndipo muhimu zaidi kuliko hata hiyo risasi ya makalioni. nchi nyingine ukigonga na kukimbia bila kujali matokeo ya ile ajali, basi unahesabiwa ulikusudia kuua. nimewahi kuona mtu anamgonga mwendesha pikipiki, akaacha gari na pikipiki pale ili polisi waje kupima, akakodi taxi na kumkimbiza mpanda pikipiki hospitali huku yeye mwenyewe akiwapigia simu polisi na kuwaeleza kilichotokea na kuwaelekeza hospitali alipompeleka majeruhi!

wenzetu wanajali utu kwanza!

Huku kwetu sidhani kama watu wanapokimbia maana yake hawana sometimes ni Usalama,Ukimgonga mtu Manzese,Kariakoo,Temeke,Tandika na maeneo Mengi tu hapa Dar utasimama? Unaweza kupigwa mpaka mauti ikufikie plus kuibiwa kila kitu!! Kukimbia not necessarily kwamba mtu hajali,No!!

OCD ni mtu wa usalama, huyo jamaa hakupaswa kukimbia! Hii stori imekaa kimtego sana, na maelezo tunayoyapata humu ni ya hearsay, mpaka hapo tutaposikia kauli ya huyo mwalimu na OCD mwenyewe (mahakamani). Huenda ticha ni mkosaji na OCD ni mwanausalama hivyo hapaswi kufuma macho mhalifu anatimua, ama huenda kuna ishu nyingine pasono kati ya wawili hawa!

unachosema ni ukweli mkuu,lakini kwa vyovyote itakavyokuwa OCD hakutumia busara,mtu anapogongwa priority kuu ni kuokoa maisha yake.hvyo angedeal na mgonjwa na kuchukua no za gari.na ingekuwa vigum kwa mhadhiri kujua anakimbizwa na Ocd.labda watuambie alikuwa ana2mia gari ya police

Hongera OCD huo ndiyo uzalendo,hata kama siyo kituo chako cha kazi,ukiona uhalifu chukua hatua mtuhumiwa akiresist use reasonable force hiyo ndiyo falsafa ya usalama ,hata ungeua hakuna shaka kuliko kuacha mtuhumiwa aende untouched

Crap!!

OCD ni mtu wa usalama, huyo jamaa hakupaswa kukimbia! Hii stori imekaa kimtego sana, na maelezo tunayoyapata humu ni ya hearsay, mpaka hapo tutaposikia kauli ya huyo mwalimu na OCD mwenyewe (mahakamani). Huenda ticha ni mkosaji na OCD ni mwanausalama hivyo hapaswi kufuma macho mhalifu anatimua, ama huenda kuna ishu nyingine pasono kati ya wawili hawa!
Mkuu, i am in entire agreement with you. Any sober investigator will start with your last sentence.there is something personal between them.

Why didnt the overzelous OCD arrest other culprits on his way. All the way, from kibondo to morogoro and instead anamshupalia huyo wa baiskeli.

how come risasi itoke kwenye tairi hadi makalioni? Huyo kamanda alikuwa kwenye engo gani alipokuwa akipiga hiyo risasi?

Siungi mkono mwalimu huyo kusababisha ajali,ila kuna tatizo hapa,inaelekea alimpiga risasi nyingine baada ya ile ya tairi.Kukimbia baada ya ajali ni tukio la kawaida kuogopa mob justice.Vinginevyo ni matumizi ya nguvu za ziada za afande kama tulivyozoea..

Mimi naona iundwe kamati kama ile ya kamongo-tarime, gongo la mboto and mbagala explosions, mwananyamala hspl, muhimbili hspl, samunge-loliondo, arusha (CCM vs CDM), na kama ambavyo nyingi zimekuwa zikiundwa.

Kwa nini tume iundwe wakati hili ni kosa la jinai. Huyo OCD hakuwa na sababu ya kupiga risasi mtu aliyefanya kosa la usalama barabarani.

Tukumbuke kuwa nyani hawezi kuamua kesi ya ngedere na kwa mantiki hiyo polisi morogoro lazima watampendelea huyo OCD na kesi itakwisha hivi hivi.

Ifike wakati tuwe sober na kuamua vitu objectively police should refrain from dealing with this matter.

Similar Discussions

Back
Top Bottom