Ocampo apata mrithi

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Aliyekuwa kiongoziwa mashtaka ya I.C.C luis moreno ocampo amepata mrithi atakayechukua nafasi yake,anaitwa fatou bensouda mwanamama kutoka gambia ana miaka 50,ataongoza kwa miaka 9,pia ataendeleza kesi zilizopo hadi sasa
 
Loh.., Jaji mkuu wetu Chande wamemmwaga?! Maana naye alikuwa anagombea nafasi hiyo.
 
Back
Top Bottom