Obama's Profound Disrespect For The Presidency

kwa usa hii ni kitu ya kawaida sana-hata gari ya raisi akiwa ndani huwa ananyoosha miguu hivyo-kuna space ya kutosha kabsa-
angalia documentary ya inside obama whitehouse utaona wanavyoishi-HIYO NI KAWAIDA
 
Yaani wewe unaona Bush na Ford ni mifano? Kama Obama anaiga Bush na Ford basi tuombe mungu atunusuru maana nchi inateketea. Ningeleewa kama ungetoa mifano ya maraisi waliofanikiwa kama Clinton, Regan n.k siyo hao wapuuzi kama Bush na Ford.

Zipo picha za akina Carter, Reagan, Nixon na JFK wootee wakiwa wameweka miguu yao on the same desk and the same office. Nazitafuta nitakuwekea
 
john-John-resolute-desk.jpg

JFK and JFK Jr.
Same desk
Same office

Huyo mtoto wa rais chini ya meza angekuwa ni Sasha ama Malia Obama basi ingekuwa soo. Wangesema Obama kaigeuza ofisi day care Lakini sababu ni JFK Jr. tena mzungu, basi kimyaa
 
Yaani wewe unaona Bush na Ford ni mifano? Kama Obama anaiga Bush na Ford basi tuombe mungu atunusuru maana nchi inateketea. Ningeleewa kama ungetoa mifano ya maraisi waliofanikiwa kama Clinton, Regan n.k siyo hao wapuuzi kama Bush na Ford.

Ulikuwa wapi Bush akiweka miguu juu ya meza usiongee lakini kaweka mmatumbi mwenzio ndio imekuwa big deal?
 
SHERRIF ARPAIO:

Pres. Richard Nixon and aides playing golf in the oval office

Kuna tofauti kati ya picha ya Nixon na za OBama. Huyo Nixon anaonekana yuko kwenye lunch break. Obama ni wazi kabisa yuko mkutanoni, anafanya kazi, nk halafu anakaa kizembe zembe. Kona tofauti kati ya picha ulizoweka.
 
Hayo matatizo ya kucopy & paste.... hayo maneno hayatakiwi kutoka kwa mtu mweusi au mwafrika sembuse mtanzania!.... what the hell do you mean OUR DESK?
 
Ulikuwa wapi Bush akiweka miguu juu ya meza usiongee lakini kaweka mmatumbi mwenzio ndio imekuwa big deal?

Sikuwa mwanachama wa jamiiforums wakati wa Bush. Kwa hiyo huwezi kuniuliza swali hilo. Na nimeshasema Bush naye ni raisi mchovu aliyeharibu uchumi. Kama unafikiri mimi ni mshabiki wa Bush basi umepotea stepu.
 
Hayo matatizo ya kucopy & paste.... hayo maneno hayatakiwi kutoka kwa mtu mweusi au mwafrika sembuse mtanzania!.... what the hell do you mean OUR DESK?

Our = taxpayers. Desk ni mali ya uma siyo mali raisi.

Mimi kwanza pointi yangu siyo ya desk. Pointi yangu ni jinsi Obama hayuko makini kwenye kazi. Wewe kwanza jiulize kama Kikwete angepigwa picha kama hizi watu wangesemaje? Hata wewe mwenyewe kama bosi wako anajibweteka bweteka ungeona vipi?
 
Sikuwa mwanachama wa jamiiforums wakati wa Bush. Kwa hiyo huwezi kuniuliza swali hilo. Na nimeshasema Bush naye ni raisi mchovu aliyeharibu uchumi. Kama unafikiri mimi ni mshabiki wa Bush basi umepotea stepu.
Unfortunately, so did Reagan, Carter, Nixon, Ford, GW and Clinton.
 
Labda Obama ana matatizo ya miguu inayomtaka awe ananyoosha miguu yake mara kwa mara. Have you thought about that?
 
Our = taxpayers. Desk ni mali ya uma siyo mali raisi.

Mimi kwanza pointi yangu siyo ya desk. Pointi yangu ni jinsi Obama hayuko makini kwenye kazi. Wewe kwanza jiulize kama Kikwete angepigwa picha kama hizi watu wangesemaje? Hata wewe mwenyewe kama bosi wako anajibweteka bweteka ungeona vipi?
He pay taxes too!.. lol what a joke!
 
Siyo picha tuu hata ukiangalia schedule yake ya kazi utaona Obama ni mvivu. Anaingia kazini saa 5 asubuhi anatoka saa 10 jioni. Yaani kazi imemshinda huyu jamaa. Angalia official schedule yake hapo chini uone jinsi jamaa alivyokua mvivu.

President's Schedule - May 29 to June 4, 2011 | The White House
Propaganda at work. Kwangu mimi hata akiukosa urais kwa mara ya pili lakini Obama amepunguza kwa kiasi kikubwa kiburi cha wamarekani weupe. Wapumbavu sana hao na ndiyo maana wameanza kampeni mapema ili kumwondoa.
 
Mimi nahofia hata akishinda wanaweza kumtwanga shaba kama walivyomfanya JFK
 
370_1298064074A.jpg

Pres. Nixon in oval office

Kama huoni tofauti ya picha uliyoweka na za OBama basi tena. Nixon hapo juu anaonekana kabisa anachapa kazi au anasoma kitu. Picha za Obama zinaonyesha kama mchovu fulani aliyeshindwa kazi. Ziangalie tena uone tofauti maana naona upo desparate kumtetea Obama.
 
He pay taxes too!.. lol what a joke!

Nimekwambia pointi zangu siyo za deski. Wewe naona umeng'ang'ania na mambo nje ya hoja. Rudia kwenye original posti yangu.
 
Back
Top Bottom