Obama's Errors Africa. JK, Mubarak Wamekaribishwa Vipi W.H.? Democracy, Human Rights

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
images

obama_n_kikwete_500x307.jpg


Uwazi mkubwa unaonekana kwamba Obama's staff wamefanya makosa makubwa kudialog na kuwapa invitations Mubarak na Kikwete White House. Ni makosa makubwa Madikteta kama hawa kupewa hadhi kama hizi wakati nchini kwao wanafanya kila kitu kinyume na sheria za UN human Rights na kurun Fraud elections. Uwazi mkubwa unajidhihirisha Egypt na Tanzania kwa sasa. Mubarak kwa miaka 30 anajiatengenezea tume ya uchaguzi na kujitangaza mshindi wa Uraisi. Huku Tanzania sisi tunateswa hivi JK anajiundia kikundi chake chake cha wahuni na kukiita NEC kumchagua yeye. Ukiangalia human rights violations Tanzania utaona zimejaa kila mahali, tukianzia mauaji Arusha, vitisho kwa viongozi serikalini kuwaua ili wasipeleke cases za mafisadi public na judicial ciolations every where. Mengine ni Injustice Tanzania; uandikishaji fake wa makampuni duniani ili watanzania wasiweze kujua watu gani wanamiliki makampuni kama Dowans na viwanda Tanzania. Zaidi, ukwepaji kulipa kodi na rushwa na utajiri wa viongozi Tanzania wakati Taifa linaomba na kutegemea misaada America na EU. This has come to the end na Obama amehaidi kutokaribisha Madikteta kama hawa tena W.H. Tunauhakika JK hatapata nafasi tena huko EU...Sijui hata Obama alikuwa anamwelewa JK akiongea katika hii picha...

"JK na Mubarak wakienda kuomba misaada nje ya nchi wanataka photo up na Obama kama vile wanajali human rights for their people kama sio unafiki mkubwa ni nini?"
 
"Washington and its allies keep to the well-established principle that democracy is acceptable only insofar as it conforms to strategic and economic objectives." - Noam Chomsky writing on The Guardian 04 Jan. 2011. An interesting article.

In other word: If you want to understand American foreign policy, follow the money...
 
"Washington and its allies keep to the well-established principle that democracy is acceptable only insofar as it conforms to strategic and economic objectives." - Noam Chomsky writing on The Guardian 04 Jan. 2011. An interesting article.

In other word: If you want to understand American foreign policy, follow the money!

Lakini hii ndio free market na capitalism principle. Marekani siku zote wapo lazi kufunga macho kama kunaeconomic benefits na interest zao. Kwa swala la Tanzania bado sijaelewa maybe JK ni strategic ally or geo ally or one day CCM itakuja kuwa umbua kwa failures zote. Why not be in Tanzanian people side? This is really painful to watch...
 
Niweze,
Sahihisho. JK hakukaribishwa White House. Aliomba kukutana na rais Obama kwa photo op.
 
...Kwa swala la Tanzania bado sijaelewa maybe JK ni strategic ally or geo ally... [/B]
Nafikiri tangu mabomu ya Embassy za US Kenya na TZ miaka iliyopita, wamarekani wameiweka nji hii kama moja ya strategic ally wao, huku sehemu hizi za kwetu, in what they term "war on terror". Angalia ukubwa wa Embassy yao ilivyo pale Drive-in Cinema ya zamani, just as an example. Tusishangae sana kuona wanafumbia macho uozo unaoendelea!
 
hiki kitu cha kujikomboa nadhani kwanza inabidi tuwaelimishe wazee wetu, Niko ughaibuni nimepiga simu home ukiulizia hali halisi ya bongo wazee wanaogopa kusema coz bado ni waoga wanadai sio poa ku discuss kwenye simu(lol).Nadhani ingekuwa poa kama tukaanza kuwaelimisha wazee kwanza bila ivyo wataendelea kuchagua sisi em!!!
 
Je wewe unahakika umekomboka?

Mie naweza kusema nimejikomboa ki-elimu/mawazo lakini wazee wetu bado wapo ktk mawazo ya uoga wameelimika lakini kuna vitu bado hawajavielewa sitaki kufananisha sana na maisha ya wenzetu wa EU au USA lakini kuna haki flani flani ambazo kwa mtu wa kawaida huwezi kuogopa!
 
Mie naweza kusema nimejikomboa ki-elimu/mawazo lakini wazee wetu bado wapo ktk mawazo ya uoga wameelimika lakini kuna vitu bado hawajavielewa sitaki kufananisha sana na maisha ya wenzetu wa EU au USA lakini kuna haki flani flani ambazo kwa mtu wa kawaida huwezi kuogopa!
Kwa upande flani nakubaliana na wewe lakini naona uko too subjective e.g "mie naweza kusema nimejikomboa ki-elimu/mawazo" halafu unaona "wazee wetu bado wapo ktk mawazo ya uoga". That self evaluation might as well be your undoing. My assertion here is: to get get education does not necessarily lead to mental freedom/liberation. Sometime, the opposite might be the case. The generation that stood up against colonialism was precisely that which you refer to as wazee wetu. The youths of today in TZ are timid, to say the least. This is my personal opinion.
 
Back
Top Bottom