"Obama" wa Korogwe na vazi la kanga

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
attachment.php


Mgombea wa ubunge kwa tikiti ya CCM, Yusuph Nasir Abdallah (kushoto) akiwa na mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Mussa Shermkweli wakati wa kampani hivi karibuni jimbo la Korogwe.

Yusuph ambaye pia anafahamika kama "Obama wa Korogwe" alimbwaga chini mwalimu wake wa zamani na naibu waziri wa habari,michezo na utamaduni Mh. Joel Bendera...

Staili hii ya upande mmoja wa kanga begani imekaaje maana huwa namuona festi ladi akitoka hivyo pia?
 

Attachments

  • Yusuph_CCM.jpg
    Yusuph_CCM.jpg
    28 KB · Views: 559
kuna jamaa alibeba chupi ya mkewe akidhania kabeba leso....! mbele za watu akajifuta jasho...! loooooo!!!!!!!!!!
mbaya zaidi ilikuwa haijafuliwa....!

sasa jamaa alidhani kabeba bendera ya sisiemu...! :becky::becky::becky:
 
Toto la KITANGA HILO, UNASHANGAA NINI AKIBEBA KANGA?

attachment.php
Mgombea wa ubunge kwa tikiti ya CCM, Yusuph Nasir Abdallah (kushoto) akiwa na mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Mussa Shermkweli wakati wa kampani hivi karibuni jimbo la Korogwe.

Yusuph amabaye pia anafahamika kama "Obama wa Korogwe" alimbwaga chini mwalimu wake wa zamani na naibu waziri wa habari,michezo na utamaduni Mh. Joel Bendera...

Staili hii ya upande mmoja wa kanga begani imekaaje maana huwa namuona festi ladi akitoka hivyo pia?
 
Duuuuh Hii ni style mupya kabisa wajameni.

Niliwasikiliza G. Hando na Barbara Hassan wa kipindi cha PB-Clouds FM asubuhi leo walijiuliza maswali mengi sana na hawakupata jibu ama kweli siasa za mwaka huu ni kiboko

Au nae alitaka kuja na style yake ili wapiga kura wasije msahau siku ya kumpigia kura nini?
 
Huyu ni shoga si mwanamke si mwanaume, hivi haoni aibu hata kwa wanawe
 
Hii style wameiga toka kwa Wanigeria hata huyo mama Salma nae kadesa huko huko.
 
Back
Top Bottom