OBAMA vs BUSH: Nani katili zaidi?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Wadau,hvi kati ya hao watu wawil hapo juu nani ni katili kuliko mwenzie?maana tumeshuhudia Bush alikua ana vurugu nyingi lakini hakuwahi kuua viongozi wakuu wanaoshukiwa kwa tuhuma mbalimbali,huyu ndugu yetu obama yeye hana maneno mengi ila actions zake tunazishuhudia wote.
 
wote kama ni shule, ni shule moja course moja ila madarasa tofauti, mmoja aliuwa Milioni Iraq, mwingine naona anajaribu kumvutia kasi keshashiriki katika kuilipua libya, na maelfu kupitia drones huko Yemen, Somalia, Pakistani n.k.

bush alikuwa akiwatorture anaowakamata kule Guantanamo, huyu wa sasa naona anawalipua tu moja kwa moja

Kiufupi, huyu wa sasa naye ni katili, anaweza kuafanya lolote kwa ajili ya mamlaka, roho ya utu hana kabisa
 
sera na ufisadi kuridhisha corporations na mafisadi wanaowasupport wakati wa uchaguzi ndiyo hudictate maamuzi ya viongozi wengi. wote hao wawili Bush and Obama wanamtumikia bwana mmoja
 
Obama ni mnafiki na muuaji mbaya zaidi..bora Bush alikua anakuambia kabisa...hili jaluo lenyewe limeanza na Afrika sehemu ambayo baba yake alizaliwa yani laan ni mbaya sana kisa madaraka..ovyooo
 
sera na ufisadi kuridhisha corporations na mafisadi wanaowasupport wakati wa uchaguzi ndiyo hudictate maamuzi ya viongozi wengi. wote hao wawili Bush and Obama wanamtumikia bwana mmoja
Be specific and dare to talk openly. Nani huyo Bwana wao wanayemtumikia?
 
Wadau,hvi kati ya hao watu wawil hapo juu nani ni katili kuliko mwenzie?maana tumeshuhudia Bush alikua ana vurugu nyingi lakini hakuwahi kuua viongozi wakuu wanaoshukiwa kwa tuhuma mbalimbali,huyu ndugu yetu obama yeye hana maneno mengi ila actions zake tunazishuhudia wote.
like the father, like the son. wote maharamia wakuu
 
They are true servant of god as they protect the world frm terrorists
servants of God indeed!!!!! thank you for see that they do protect the world from terrorism. yes, hold on and wait the turn for your man to cease performing, that will be the day you will curse the birth of Obama and the so called Bush and rally the nation to return the mosquito nets you are enjoying now.
 
Mbona mnaanzia mbali kufagia tuanzie hapapa nyumbani ndipo tutoke nje
Hapa Kwetu Tanzania ni nani Rais ambaye ni katili kyliko awamu zote?????
Mimi nitaaza na jibu kabisa;
Awamu tuliyo nayo sasa ni katili kupita zote tumeshuhudia mauaji Arusha,Mbeya,Nyamongo na Dodoma juzi ambako hata serikali na vyombo vyake haijasema imeua wanamchi wangapi na iliyojeruhi haijasema Ila jua kuwa ni wengi maradufu.
 
japo namkubali obama ila ni gaidi la kutisha kama nini.
What has Obama got to do with all this? Mlitaka afanyeje? Hizi ni agenda zipo miaka nenda rudi ni bahati mbaya imemkuta Obama katika utawala wake hata angekuja rais kushuka toka mbinguni angetekeleza. Soma historia ya Marekani ndipo utaelewa. Obama bado ni mtu mwema tu anakubalika na wengi kwa hilo including his own people in the States.
 
Obama ni mnafiki mkubwa sana.... na adui wa Africa.. Pakawa unaposema anapendwa nchini kwake embu angalia vizuri vyombo vya habari huko.. ana wakati mgumu sana tu. Kuhusu sera za marekani ni kweli kuna vitu ambavyo hata yeye hawezi kuvibadilisha akijaribu kufanya hivyo watamfanya kama walivyomfanya John Kennedy.

Lakini kuhakikisha amemuuwa Gaddafi kweli kamwe Obama and American will never be my favoriteds..
 
Wapo sawa... Ila the Good thing with Bush sio mnafiki, wee kama adui unakua unajua kua hakupendi, where as Obama hujifanya vile ambavo sivo...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom