Obama supporters exposed

Hawa wafuasi wa Obama ni kama wale wanaoipigia kura CCM kule vijijini. Yaani wapo wapo tuu hawajui kinachoendelea.

Sijaiangalia hiyo video but comment yako inamaanisha akina Oprah Winfrey, Jayz & Beyonce na wengineo kama hao? Sijakusoma vizuri hapo.
 
Last edited by a moderator:

Angalia video kwanza ndiyo utaelewa. Hao wakata mauno na wauza sura uliowataja siyo asilimia kubwa ya watakaompigia kura Obama. Waliyo onekena kwenye hiyo video ndiyo ni wengi. Halafu pia hata hapa kwetu kuna wakata mauno na wauza sura wengi tuu ambao wanaipigia kura CCM. Kwa si jambo la ajabu sana, lakini ukitembea kule vijijini utaona wengi wanaipigia kura CCM lakini hawajui kinachoendelea kama hao waliomo kwenye hiyo video hapo juu.
 
Hmm...I always take these kind of 'man on the street' interviews with a grain of salt.

And to be fair, you can find a whole bunch of ignoramuses on both sides of the political spectrum and compile soundbites and make it look as if one side is fraught with them.
 
Bila ya shaka na kwa upande wa wanao muunga mkono Romney pia kuna wa sempuli hiyo pia.

Juu ya hivyo, this one was funny
 
Hawa wafuasi wa Obama ni kama wale wanaoipigia kura CCM kule vijijini. Yaani wapo wapo tuu hawajui kinachoendelea.

Ridiculous kabisa. Yaani kufikia conclusion kwa kutegemea maneno ya hao handpicked few, ni kushindwa kuwa objective. Tanzania hii pia tuna watu ambao hawaipendi ccm lakini hawajui kwanini. Pia wapo wanaoipenda cdm na hawajui kwanini. Tusiwe kama bendera fuata upepo. Tuwe objective na critical
 
Kwa nini una unaamini walikuwa ni handpicked ni siyo random selection?
 
Back
Top Bottom