Obama ni Mkristo au Mwislamu ?

Hivi waislam huwa hamna hoja, eh?

Is there any constructive message here? I don't think so muham-madans.

The same twisted muham-madic bogus thinking


Acha matusi, umeulizwa swali kama hauna jibu bora unyamaze.
 
Nilidhani mu ma great thinker, kumbe ni sinker. Get your knowledge right sio kukurupuka.
Yes,the Forum is of great thinkers but it does not mean every body is a great thinker.
If we are Sinkers that means we never sink,we float , and you are the one who is heading dowm to the bottom bikin.
 
Uislamu ni dini ni utamduni na ni utaifa!?
Ndiyo maana kuna kitu kama
" Mali za waislamu"

Mataifa ya kadhaa ya Asia na Middle East serikali zao ni za Kiislamu.

Sijui ukiwa Muislamu Tanzania unaweza dai kwamba mali zote za mataifa hayo na wewe ni mmiliki??
Bakhresa anamiriki biashara kibao kwa sababu tu ni Muislam basi kuna waislamu wanadhani mali ya huyu jamaa ni yao pia.
Rais ni Muslamu kuna Waislamu wanadhani sasa tanzania ni ya Kiislamu. Rais alipokuwa mkristo kuna waislamu waliamini kwa dhati kwamba nchi ilikuwa ni ya kikristo.

Sijui ni ufahamu mdogo aua ni msisitizo duni wa kiimani wenye kudumaza uelewa??

Obama kuwa Muislamu ni jambo muhimu sana kwa muanzisha hoja kwamba sasa dola ya Kiislamu imetinga First world imani nyingine mlie tu.

Kumbe ndio hivyo!!!!!! Du!
 
Shakitundu kwanini tujadili dini ya mtu itakusaidia nini kujua dini ya Obama?
ndo swali la kujiuliza?kwa nini tusijali watoto wanafeli hovyo,tuangalie tumepotoka wapi turekebishe sasa yeye anatuletea habari za dini ya mtu ambayo haitusaidii chochote:laugh:
 


Tujadili.


Mnabeep na udini mkipigiwa mnaanza kulalamika!!!sasa akiwa muislam sisi tufanyeje???kikubwa ninachomsifu jamaa kajitahidi sana kupunguza hali ya migogoro kwenye nchi zinazopigana wao kwa wao kwa kuamua kurudisha majeshi nyumbani!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom