Obama ni Mkristo au Mwislamu ?

Kwani siku anaapa alitumia kitabu gani?
Alitumia Katiba, Bible au Qura'an ??
 
Hiyo you tube ni watuwalii-edit ili aonekane yeye ni muislam. Kule pakistan wanaipenda sana ili kuongeza imani.hamna lolote hapo!
 
Mkuu,
Kuna Rev. Jeremiah Wright, huyu atakupa jibu ilitafutalo.
Umewahi kusikia black church?
Pia haitegemewi kwa miaka ya karibuni kuwa itatokea Rais wa USA kuwa muislamu.
lakini Obama huonekana mara zote kwenda kanisani kila anapoapata nafasi.
kwa hiyo hakuna cha kujadili hapa. Au wewe umejiunga na "bithers" movement?
 
sure jamani great thinkerz,huyu bwana na dini yake haituhusu,its better tukijadili kuhusu mustakabali wa tz,ktk nyanja zote social,economic,political,traditional,scientintifical as well as mafisadical...hoping tutabring impact ktk nchi yetu
 


Tujadili.


Yaani wee unadhani sisi hatuna kazi ya kufanya ili tujadii ujinga? hebu ngoja nitafute thread za watu wenye akili timamu niweze kuchangia Maslahi ya Taifa langu. huku nimepotea njia.
 
Last edited by a moderator:
freemasons.dini alionayo ni ya jina tu.hata hivo ni imani yake na Mungu wake.wacha nkapate moja baridiiiiiii huu upupu.
 
Hivi waislam huwa hamna hoja, eh?

Is there any constructive message here? I don't think so muham-madans.

The same twisted muham-madic bogus thinking
 
Uislamu ni dini ni utamduni na ni utaifa!?
Ndiyo maana kuna kitu kama
" Mali za waislamu"

Mataifa ya kadhaa ya Asia na Middle East serikali zao ni za Kiislamu.

Sijui ukiwa Muislamu Tanzania unaweza dai kwamba mali zote za mataifa hayo na wewe ni mmiliki??
Bakhresa anamiriki biashara kibao kwa sababu tu ni Muislam basi kuna waislamu wanadhani mali ya huyu jamaa ni yao pia.
Rais ni Muslamu kuna Waislamu wanadhani sasa tanzania ni ya Kiislamu. Rais alipokuwa mkristo kuna waislamu waliamini kwa dhati kwamba nchi ilikuwa ni ya kikristo.

Sijui ni ufahamu mdogo aua ni msisitizo duni wa kiimani wenye kudumaza uelewa??

Obama kuwa Muislamu ni jambo muhimu sana kwa muanzisha hoja kwamba sasa dola ya Kiislamu imetinga First world imani nyingine mlie tu.
 
Back
Top Bottom