Elections 2010 Obama Nae Maji ya shingo, Congress Kaipoteza!!

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Aug 25, 2010
9,539
5,903
Mageuzi ni kila mahali mwaka huu. Obama jahazi linaenda mrama na anaweza asirudi 2012!..... na CCM tunaisubiri tuitose.
Can't wait siku CCM nayo itakaa bench then ndio mtie akili na mkome kabisa kuwa-take watanzania for granted, kuibia watu na kudanganya wazalendo. Ole wenu katiba ikibadilishwa na kuwa fair kwa vyama vyote mmekwisha:israel:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom