Obama invites African leaders to G8 summit; including Kikwete

Kama namuona vile, nguo zishaanza kuwekwa kwenye begi. Najua ataondoka J'pili akakae huko akila bata hadi siku ya mkutano.
 
2010 alipoulizwa tukumbuke kwa lipi alikosa jibu. This time ajibu, "mnikumbuke kwa trip"
 
Hapa naona mtu anjiandaa kukimbia kwa nguvu zote akitimua vumbi lote huku jasho likimtoka mwili mzima ili mradi tu awe wa kwanza miongoni mwa walioalikwa kufika kwa Obama
 
.
Fears of famine and drought are stalking several areas of Africa.

Water shortages have hit communities in Somalia, Ethiopia and Kenya.

Aid groups have also sounded alarm over a separate hunger crisis in the west of Africa where the Sahel region of Burkina Faso, Chad, Mali, Mauritania and Niger has been hit hard by drought, high food prices and conflict.

mmhhh! hapa lazima kuna hidden agenda! hizo nchi zote zilizotajwa hapo juu zinasumbuliwa na vita zaidi ya hiyo njaa- Mali na Somalia au zinapigana proxy war za US. Pia matatizo ya njaa Afrika yatatuliwe na G8 na NATO? Baada ya kikao cha G8 kuna kikao cha NATO na kila mtu anajua hawa watu wakikutanaga vita yaja.
 
dah nahisi angekua na uwezo angeenda america leo akakae huko mpaka tarehe 18, hongera Rais ushapata kajitrip ka ulaya hapoo
 
Mkwerè atakuwa amefurahi sana.. Ataenda kesho kikao mwezi ujao.
 
JK hapo najua ameshaanza kusort mbunge gani wa viti maalum atakaenda naye huko.

Hivi kwenye hiyo trip ataenda na mpishi na mpiga pasi tena?

Safari njema mkuu wakilisha nchi zenye watu wenye maziwa makubwa ukanda huu wa Africa
 
Anaenda kwa gharama za kodi ze2 au anagharamikiwa na huyo hawara wake obama?
 
Nenda mwanakwetu Jk,ukifika mtafute coolio,busta rymes au akon afu utaniletea picha utakazopiga nao,
 
Catherine Magige...?? embu weka vizuri... unasema....??

Safi sana JK, anza kupiga pasi zile suti zako ulizoongwa, delegation ya watu kama 30 muhimu, afu usisahau kwenda na yule mtoto uliye-match nae nguo kwenye ile photo (catherine magige), au kama vp ongea na maximo afanye import ya totoz toka brazil, pia usisahau kuweka sawa mambo ya blad... Check CD5 pia mkuu, akikisha ziko nomo... Wakati wako ndo huu, kula raha...
 
Si ajabu tukasikia kahairisha kuteua baraza la mawaziri kawahi US siku 5 kabla ili akazoee mazingira kwahiyo tuendelee kuwa na subira! Teh teh!
 
Obama invites African leaders to G8 summit

ALeqM5ipb0XYFcVK0YOvV1K8bAapHNtKlQ

(AFP) – 10 hours ago

WASHINGTON — US President Barack Obama has invited the leaders of Benin, Ethiopia, Ghana and Tanzania to take part in a session on food security in Africa at the G8 summit this month, officials said Thursday.

Obama will host the leaders of the rich nation's club at his Camp David retreat in Maryland between May 18-19.

He has now asked Benin's President and African Union chairman Thomas Boni Yayi, Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi, President John Mills of Ghana and Tanzania's President Jakaya Kikwete to join the session on food security.

Fears of famine and drought are stalking several areas of Africa.

Water shortages have hit communities in Somalia, Ethiopia and Kenya.

Aid groups have also sounded alarm over a separate hunger crisis in the west of Africa where the Sahel region of Burkina Faso, Chad, Mali, Mauritania and Niger has been hit hard by drought, high food prices and conflict.

AFP: Obama invites African leaders to G8 summit
 
Atakuwa anafurahia sana, natamani sasa tumpe discpline ndogo! wale jamaa wa hapa dc, tufanyeni kitu sasa huyu mtalii apate akili maana lazima aje!

Du! Hutaki aje huko! Na wewe si urudi home tujenge Taifa letu ndugu!
 
Kikwete akienda Migwanda itaanza kulalama na kuhesabu hatua zake.
 
Fears of famine and drought are stalking several areas of Africa.

Water shortages have hit communities in Somalia, Ethiopia and Kenya.

Aid groups have also sounded alarm over a separate hunger crisis in the west of Africa where the Sahel region of Burkina Faso, Chad, Mali, Mauritania and Niger has been hit hard by drought, high food prices and conflict.

Naelewa sababu za kuwaalika wakuu wa nchi za Ethiopia, Benin na Ghana lakini Tanzaia sielewi kwanini.
 
Hivi kwa nini anapewa shavu?Obama alipokwenda Ghana aliulizwa Why Ghana?alisema kuna good leadership.Nafikiri USA wana kitu zaidi wanataka hapa kwetu.JK ukipewa akili changanya na zako.
 
Back
Top Bottom