Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
I concur with you 100% hata nadhani kama Obama mwenyewe
angesikia angewaambia waendelee na shughuli zao. Waafrika samtaim
tunajishukisha hadhi wenyewe tu hata bila sababu.
Somehow uko right bro ila tusisahau kuwa the advent of colonialism, post colonialism as well the neo liberal economic schemes has amplified the inferiority complex ya waaafrika towards wazungu.
Bro, uko US, at least wewe unaweza kuwa unajua vyema zaidi kuliko th rest of us who are not there kuwa sometimes wazungu they hopeless hata sisi tuna afadhali, lakini Mjaluo wa Kibera doesnt know that, inlc. our politician, mara ngapi wasomi wetu wamekuwa wanadharauliwa on the face ya wataaalam wa Kizungu regardless kuwa they are empty headed?
Another good Obama speech, hope Fav's alifanya kazi yake vyema lakini still for me ina zua maswali mengi kuliko majibu.
Umejuaje?Tafsiri mambo ya Emmanuel Muganda na Vivian Lusweti hayo. VOA Swahili service.
Umejuaje?
kwa jinsi waafrika tulivyokuwa wavivu wa kufikiria nna ku analyze vitu, huyu Obama katupumbaza akili zetu waAfrica almost wote, sasa tupo bize kushindana nani wa kwanza kukutana na Obama, nchi gani ya kiAfrica ya kwanza kutembelewa na Obama, lakini tunashindwa kujua ze secret behind this, Obama hakuingia hapo by chance hizo ni program za muda mrefu mno za kumuandaa Obama kuwa pres wa America, cha kufanya na ambacho ni cha muhimu kwa wa-Africa ni kuanza kumstudy na kumjua Obama anataka kufanya nini kwa WaAfrika,? na sio kupapatika kutaka kutafuta chuki eti ni kwa nini hakwenda Kenya au kwa nini Kikwete awe wa kwanza kumuona obama
kwi!kwi!kwi!Unafikiri Jasusi peke yako? Mambo ya software forensic pamoja na makaratee mengine trade secrets.Hata hilo file lina chapa zao.