Obama hati hati kurejea ikulu

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
The Republican John Boehner was elected the new Speaker of the House today, marking a shift to the right in Washington as he replaced the first woman in the post, the Democrat Nancy Pelosi.

The meeting of the 112th Congress, with the Republicans in control of the House and having slashed the Democratic majority in the Senate, is a long way from the heady days of 2007 when Pelosi was elected Speaker and the Democrats held both the House and the Senate.

With control of the House, the Republicans have a substantial platform from which to harry Barack Obama in the White House. The Republicans hold 242 of the 435 House seats and the Democrats 193 after the November elections, a gain of 63. There are 87 new Republicans and nine Democrats.

Kwa mtaji huu, Obama atakuwa na kibarua kizito katika re-election campaign.
 
sio siri kibaru anacho tena sio kidogo, maana huyo speaker baada ya kuapishwa tu ameapa kuwa ni lazima wapinge kwa nguvu zote registration of Health care kitu ambacho kama kikitokea Obama atakuwa katika wakati mgumu sana sababu hiyo ndio iliyokuwa mingoni ya Top priorities zake.
Hata hivyo haitakuwa rahisi sana kwani bado Democratic wana-control Senate (baraza) na pili kama wakipitisha pingamizi kama wanavyotaka bado Obama kama Raisi anaweza akatia VETO yake.. hivyo hapa ngoja tuone mziki unatakuwa ni aje.
 
In 1995, the Republican Party was riding high on the gains made in the 1994 congressional elections. In those elections, the Republicans, led by Newt Gingrich captured the majority of seats in the United States House of Representatives for the first time in years and the majority of seats in the U.S Senate for the first time in eight years.

On November 5, 1996, President Clinton went on to win re-election with a substantial margin in the popular vote and electoral college
 
Hana kibarua sana akicheza na maindi za wale wababe wa nchi
In 1995, the Republican Party was riding high on the gains made in the 1994 congressional elections. In those elections, the Republicans, led by Newt Gingrich captured the majority of seats in the United States House of Representatives for the first time in years and the majority of seats in the U.S Senate for the first time in eight years.

On November 5, 1996, President Clinton went on to win re-election with a substantial margin in the popular vote and electoral college
 
Obama ni mtendaji. Obama ni msemaji. Uwezo wa Obama katika kusema ni mkubwa kuliko kutenda.
 
Siyo kibarua kigumu kama watu wanavyofikiria. Changamoto kubwa inayomkabili kwa sasa ni ukosefu wa ajira tu. Mpaka mwaka wa uchaguzi ufike hali ya uchumi itakuwa imeshaboreka na nafasi za kazi zimeongezeka. Kwa hiyo uwezekano wa kurudi ofisini upo.
Angekuwa amechemsha sana mpaka sasa tungeshasikia watu kwenye GOP wameshatangaza nia ya kugombea urais. Lakini mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyetangaza wazi kugombea!
 
Obama ni mtendaji. Obama ni msemaji. Uwezo wa Obama katika kusema ni mkubwa kuliko kutenda.
Sikweli ni msemaji tu, Kumbuka wakati anaingia madarakani nchi ilivyokuwa imechoka
,housing problem ,financial , employment etc Haya yote yasinge badirishwa kwa siku moja (overnight ) , tatizo lililojitokeza sana ni kwamba jamaa aliwapa HOPE sana ndio maana wanapoona slow progress wanaona kama hafanyi kazi. All in all He is intelligent ,smart and Visionary Guy .
 
In 1995, the Republican Party was riding high on the gains made in the 1994 congressional elections. In those elections, the Republicans, led by Newt Gingrich captured the majority of seats in the United States House of Representatives for the first time in years and the majority of seats in the U.S Senate for the first time in eight years.

On November 5, 1996, President Clinton went on to win re-election with a substantial margin in the popular vote and electoral college

Mara nyingi hutokea kwamba the best for a president is to have majorities in the other houses (congress or senate). This way the people feel they get a balanced policy out of Washington. This was the case with Clinton after the Newt Gingrich's "Republican Revolution" you have mentioned, na ambayo ilimwezesha Clinton to shine by passing some balanced and well negotiated policies.

Lakini pia kuna issue nyingine nyeti in develop huko...the Tea Party movement and their incoherent ideologies, but well unified against Obama and the left (Liberals). Republicans sasa wanalitegemea sana hIlo kundi. Lakini hizo extreme ideologies za Tea Party zaweza kuwa ndio suluba ya Rebuplicans kama wakizidi kulala nao kisiasa...
 
Back
Top Bottom