OBAMA follows me

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Leo nimefungua page yangu ya twitter, nusu nizirai kwa furaha baada ya kukuta mmoja wa followers wangu ni Barrack Obama. Kwakweli nimefarijika sana.
 
ok so does that make u a celebrity?cuz ths is celebrity forum...
hahahaaaa, aisee nimecheka sana baada ya kuangalia avatar yako na kulinganisha na manaeno yako..
hebu atuambiwe, mbona mimi kikwete ana ni follow na wakat hata majirani zangu wengine hawanijui
 
Sitaki kukukatisha tamaa ila nadhani he follows a lot of people. Actually his PR office does, wala sio yeye binafsi. hongera lakini
 
Sitaki kukukatisha tamaa ila nadhani he follows a lot of people. Actually his PR office does, wala sio yeye binafsi. hongera lakini
asante mkuu, at least you have displayed a modicum of appreciation and compliments.
 
Hey! Thats samthn! Hongera.. If that happened to me i might have done the same..lol!
 
If u was tha only person followed by him nafikiri inge make sense zaidi.
 
Hey! Thats samthn! Hongera.. If that happened to me i might have done the same..lol!
Asante mkuu, muda uliopita nimemtumia meseji kuhusu matatizo yetu ya umeme. Nadhani atanijibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom