Obama bila pete ,kasheshe???

Mayolela

JF-Expert Member
Sep 21, 2009
384
6
Rais Obama,ameonekana bila pete ya ndoa,imekuwa kasheshe,wakati sie huku Tz President anavaa mipete kibao,mpaka cheni ,au saa mbili.kama Rais aliyepita Mkapa na bila pete ya ndoa.wala inakuwa sio hoja,kwa jinsi tulivyo wadanganyika sie watanganyika,loooh???
Jamani hebu tuchanjie kwa hii.mie sijaelewa imekuwaje kati yake na mkewe Michelle????
 
Habari hii haina chanzo so far!

-Mpangilio wake pia hauvutii!
-Its so mean and too low, si ya kujadili hapa!
-Unasema "ameonekana"..je ameonekana wapi, si useme?
-Haina picha ambayo labda ingeongeza mashiko ya bandiko!
-Na ishu ya udanganyika inaingia vipi hapa?..i dont see no connection!..huh!

Leteni hoja zinazojadilika wakuu!
 
Ni kweli , leo nilikuwa naangalia Good Morning America kwenye ABC walionyesha Obama alikuwa anazungumza na Democrats wenzake na niliona Obama alikuwa ana wedding band yake. White house wanasema imepelekwa Jewerly store for repair.....Time will tell, if there is truth to White House's claim.
 
Ni kweli , leo nilikuwa naangalia Good Morning America kwenye ABC walionyesha Obama alikuwa anazungumza na Democrats wenzake na niliona Obama alikuwa ana wedding band yake. Hata mimi I was so surprised...

So whats new here!...Wekeni substance basi, mbona mna'waffle tu!
 
Ni kweli , leo nilikuwa naangalia Good Morning America kwenye ABC walionyesha Obama alikuwa anazungumza na Democrats wenzake na niliona Obama alikuwa ana wedding band yake. Hata mimi I was so surprised...
sijakuelewa, umeshangaa married man kuwa na wedding band yake??? huh
 
Obama akivaa pete ya ndoa au asipoivaa nadhani kwetu sisi watu wa Tanzania sio issue.

Kadhalika pete za Rais mstaafu Mkapa hazihusiani na maendeleo ya taifa. Labda mimi ni mzito - sioni hoja hapa.
 
Obama akivaa pete ya ndoa au asipoivaa nadhani kwetu sisi watu wa Tanzania sio issue.

Kadhalika pete za Rais mstaafu Mkapa hazihusiani na maendeleo ya taifa. Labda mimi ni mzito - sioni hoja hapa.

I thought we are discussing international issues here. That means, some of the issues might not resonate or have impact in our country at all. The message behind this story is for leader to be truthfully to his/her country, he/she must be forthcoming about his/her private life with the public. If a person is not honest to his family , how can you expect him/her to be a good leader...... I am not saying that Obama has done anything wrong so far; however, the entire story sounds weird ....
 
Back
Top Bottom