Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Mwisho wa dunia huo wajameni tujiandae!
Bad move...
Indiana, Iowa, North Carolina, and possibly Ohio will all go red in November.
Mitt Romney was a guy while in High school, his partner
confirmed it, & Romney beat a girl who started relationship with his guy partner.... so today Mitt Romney opposses same sex marriage of which he was a guy till he meet Ann when he changed & got married....
freeemasons aka agents wa shetani ibilisi wako kazini kuanzia obama na wadau wake wote..
...Mimi nafikiri wakati mwingine tunapotea sana katika mjadala huu wa ushoga, na nitaeleza kwanini:-
1. Mjadala unajikita katika kumlaumu Obama na kujiaminisha kuwa marekani wakiridhia ndoa za jinsia moja (na sioni watu wakilaani usagaji kwa kiwango sawa na us*nge) basi Tanzania hatuna jinsi.
2. Wengi tunaegemea katika maandiko ya dini (Uislamu na Ukristo), na kusahau kuwa hawa tunaowajadili pengine hawako katika makundi haya ya dini. Tuna uhakika kuwa hawa "mashabiki" wa vitendo hivi wanaya jua "maadiko matakatifu" .
3. Kuna kundi linalotaja maadili ya Watanzania yatakuwa hatarini. Hivi Tanzania kama taifa tumeinisha mahali popote maadili ya taifa hili?
Hivyo nashauri tuendeleze mjadala huu, huku tukiepusha lugha za kejeli/matusi kwa wenye mtazamo tofauti; pia tuweke sawa tunachokataa ni nini? ndoa za jinsia moja, vitendo vya ushoga (kwa maana yake pana, wanaume/wanaume na wanawake/wanawake) au vyote kwa pamoja. tujikite pia kujadili je,tunawanusuru vipi watoto/wadogo zetu badala ya kupoteza muda kuwaombea mabaya Obama na cameroon, kwa sababu nafikiri kwwa hili tumechelewa sana. Tujadili namna gani watoto wetu wanafundishwa kujitambua na kuzifahamu stadi za maisha (life skills) n.k
Bad move...
Indiana, Iowa, North Carolina, and possibly Ohio will all go red in November.
we're living in the end of days...hawa Illuminatis na Freemasons wanafanya kila mbwembwe kuhakikisha they take control ya kila kitu...
It is so simple, the new consitituion should categorically criminalize same sex marriage
Why?
Nilidhani America is land of freedom. Hata hivyo nadhani kila mtu ana uhuru na mwili wake au kuishi maisha Yale maradi tu haingilii wala kusumbua wengine, kitu ambacho nadhani ndiyo Obama anachomaanisha.
Mimi nilidhani ni Cameron peke yake, kumbe wako wengi. Kama huu ndio msimamo wake (Obama) natangaza rasmi kumdharau pamoja na "heshima" aliyojijengea sio miongoni mwa waafrika tu bali duniani kote pamoja na tuzo lake la Nobel.