Obama becomes first US President to support gay marriage

North Carolina haitambui gay marriage. Muwage mnasoma na kuelewa mambo.

(CNN) -- A day after North Carolina became the latest state to approve a constitutional amendment defining marriage as solely between a man and a woman, opponents of the referendum are beginning Wednesday to explore their next options.

North Carolina voted Tuesday to outlaw same-sex marriage, which was already prohibited in the state. Supporters pushed for the constitutional amendment, arguing that it is needed to ward off future legal challenges. Source
 
Kwa kauli ya obama kwamba anaunga mkono ushoga huku mpinzani wake akimkosoa vikali... Ni bora Obama asirudi the White house a aha a hapana asirudi ukameroon hapana ahaa ahaa Republican chukueni ikulu tafadhari, kwa kweli a ah aa chukueni bana

Hii issue is no winner no loser for Obama. Obama katoa maoni yake binafsi na hana mpango wa kuipeleka hiyo policy katika Federal level. Ameweka wazi kuwa States ndizo zitaamua ila yeye kwa mtazamo ni kuwa anaona gay marriage ziwe legal.

Huu ni mtego mkubwa sana kwa Romney hasa ukichukua kuwa juzijuzi msemaji wake wa mambo ya nje ambaye ni gay alijiuzulu kwa kusakamwa na right wingnutz. 57% of independent voters supports gay marriage. This is risky move for Obama ila ni much more strategic yenye lengo kuu moja nalo ni kuzidi kumsukumia Romney far far right. Nina hakika kabisa kama mgombea wa Republican angekuwa Santorum au Perry Obama asingejitokeza hadharani kuweka wazi mawazo yake.

Anayedhani kuwa Obama ata lose kwa issue hii atakuwa anajidanganya sana. Obama ata lose kutokana na mwenendo wa uchumi, na ikifikia mwisho kabisa yupo kwenye hard time ana karata moja ya mwisho ambayo Romney hana. Nayo ni kulipua nuclear sites za Iran na kufanya nchi kuwa katika kipindi kisichohitaji leadership transition. I believe this thing will be nasty at the end.
 
Obama is toast.

Watch how motivated the conservative massive will be come November.
 
Naogopa kusema ila inabidi niseme
'dua za ................

Mungu wa mbinguni nakuomba OBAMA asichaguliwe kuongoza kipindi cha pili anaipeleka dunia kusiko.

Hata mimi nilimpenda sana mwanzo na kumuombea lakini kwa sasa naomba aanguke kwenye uchaguzi ujayo.

Rais wa Marekani ni Rais wa dunia matendo yake halamu yanahalamisha dunia yote kwa wepesi kuliko Rais yeyote duniani.
 
Obama is toast.

Watch how motivated the conservative massive will be come November.

The more these are motivated the more magnetic field for Romney to move towards them (Far far ra right) and the more independents will leave him. This thing has effects on both sides, the burden now moves to Romney to clarify his position on this. Media will not let him run away with this.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kila neno la vitabu vitakatifu litatimia kabla ya mwisho wa ulimwengu.

.
Sasa nakubali na kusadiki maneno ya ufunuo 13 ya jinsi yule mnyama wa baharini kwa ukushirikiana na yule wa nchi kavu jinsi watakavyowabana watu. Ni wakati sasa umetimu wanadamu hatakuwa na haki ya kununua wala kuuza isipokuwa wawe na chapa ya huyu mnyama yaani 666.
Naweza kuona kibano alichopata Mugabe kwa sababu tu aliwaita ******* mbwa. Naweza kuona kibano alichopata B. Wamutharika kisa tu aliwahukumu hatia wanaume wawili waliofunga ndoa hadharani. Na Yule mama aliechukua uraisi baada yake kwa msaada wa unabii wa kisasa ambao kimsingi nabii huyu nae amesujudia umagharibi, amejisalimisha kwa mabwana zake kina Cameron. Macho ya walimwengu yametiwa kiwi na wala hawaoni. Wameungana kwa pamoja kupiga kilele za kuachiliwa huru kwa Baraba na kwamba Yeshu aondoshwe kwa kusulubiwa.
NAYAKAZA MACHO YANGU SASA KUELEKEA MBINGUNI, NAYO YAMEPENYA ZAIDI YA HIYO MBINGU HATA KATIKA KITI CHA ENZI CHA MUNGU MWENYEZI. HAPO NDIO NAIWEKA NANGA YANGU. NAJUA MARA MOJA TENA MUNGU ALIAHIDI KUVITETEMESHA VITU VYOTE VYENYE KUTETEMEKA, NAVYO KWELI VITATETEMA KAMA INAVYOTOKEA SASA, BALI KIMOJA TU NDICHO HAKITATETEMESHWA NACHO NI NENO LAKE. WALIO NDANI YAKE HAWATETEMESHWI HAKIKA.
.
 
The more these are motivate the more magnetic field for Romney to move towards them (Far far ra right) and the more independents will leave him. This thing has effects on both sides, the burden now moves to Romney to clarify his position on this. Media will not let him run away with this.

Haya basi tufanye Obama wako atashinda kwa landslide kuzidi hata ile ya Reagan in '84.
 
we're living in the end of days...hawa Illuminatis na Freemasons wanafanya kila mbwembwe kuhakikisha they take control ya kila kitu...
 
This coming election is too close to call...advantage 'Bama....but anything can happen between now and November 6, 2012 to tip the election either to Dems or Reps.
 
Ila sema kwa USA ni mkosi mkubwa mgombea urais akikubali ushoga. Maana hapo hana kura za watu wa dini, na moderate people. Nadhani kwa haraka jamaa naona atakuwa amekosa 4yrs! Naamini mashoga si wengi kama watu wa kawaida.
 
The issue is gay marriage and you can blame that on his blabbermouth vice president.....
Sasa wewe ungetegemea aseme nini akiwa NC?

Maana hapo hana kura za watu wa dini, na moderate people. Nadhani kwa haraka jamaa naona atakuwa amekosa 4yrs! Naamini mashoga si wengi kama watu wa kawaida.

Obama alishakataa haya mambo kwenye federal level sasa atakosa kura kivipi?
 
we're living in the end of days...hawa Illuminatis na Freemasons wanafanya kila mbwembwe kuhakikisha they take control ya kila kitu...


Na hawa pia ni free masons???

6a00d83451b26169e20163051689c2970d-pi
 
Jaluo angekaa kimya tuu kwasababu hii kitu imetuudhi wengi...

Mimi naamini Obama hakuwa tayari kuweka wazi msimamo wake kabla ya uchaguzi ila baada ya Joe Biden kuropoka akawa hana jinsi tena maana alichoropoka Biden kilikuwa kinyume na msimamo ambao Obama alikuwa kauweka wazi tokea 2007/2008 (kwamba yeye anaamini ndoa ni kati ya mwanamke na mwanamme tu).

Baada ya Biden kusema yeye yuko comfortable na gay marriage ndiyo watu wakaaza kuhoji na kusema mbona msimamo wake uko tofauti na wa bosi wake....shinikizo likawa kwa Obama sasa naye aweke wazi msimamo wake.

Obamamaniacs kwenye talk radio leo wamenywea sana.
 
Sasa wewe ungetegemea aseme nini akiwa NC?

Alichosema ndiyo alichosema....mwisho wa siku ukweli unabaki pale pale kuwa watu wengi, kwa mtazamo wangu, wanapinga mambo ya ushoga lakini hawawezi kuweka wazi hizo hisia zao kwa hofu ya kuitwa wabaguzi wa mwelekeo wa kijinsia. Si unajua tena kuna watu hudai kuwa homosexuality ni civil right....lol

Obama alishakataa haya mambo kwenye federal level sasa atakosa kura kivipi?

Hakika hili suala sidhani kama litamuongezea kura Obama. Ila tusubiri tuone.
 
Haya basi tufanye Obama wako atashinda kwa landslide kuzidi hata ile ya Reagan in '84.

Obama si wangu naona sasa tunakoseana heshima. Hakuna sehemu niliposema atashinda au atashindwa, kwani hilo ni jukumu la wapiga kura na matokeo yake. Ninachokataa ni kuwa hii issue haiwezi kumfanya Obama ashinde au ashindwe bali ni mwenendo wa uchumi.
 
Back
Top Bottom