Obama becomes first US President to support gay marriage

kulingana na mambo yanavyoenda utasikia siku moja Rais atatangaza hatuna budi kukubali kwakuwa wanatupatia misaada
nyie subirini tu.

Na kwasababu hatujiamini, tusubiri gharka za nguvu! Hii ni kutafuta laana, fate siku zote ipo mikononi mwetu! Tujaindae kwa hali ngumu sana kimaisha, kwani huku ni kumkosea Muumba wetu kwa kupituka mipaka aliyotuwekea. Ama kwa hakika wenye macho na tuone na wenye masikio na tusikie, Mungu atunusuru sie na vizazi vyetu!!
 
........ "UJUMBE HUU UMELETWA KWENU NA ............. KWA USHIRIKIANO WA WATU WA MAREKANI" kataendelea kusikika au katapotezewa au watakiedit!!

Mimi siku hizi haka kamsemo nikianza kusikia viashilia vyake kwenye kituo cha redio yoyote huwa nabadilisha mitabendi haraka sana

Huu ndio msimamo wake yeye na amesita kusema kama yeye anakubali ushoga ila anadhani walio hivyo wana haki ya kutambulika. Nadhani hawa wazungu wanakotupeleka sijui.

....... Only in NC 61% of Americans support same sex marriage... Halafu uje uwaombe vote.. then useme hukubaliani na same sex marriage.... utakosa kura zao kwani hujali HISIA ZAO tena ON SEX ISSUES very critical....

Basi huyu hafai kuwa Rais, rais gani anapelekwapelekwa na hisia za kipuuzi za wananchi wake kisa anataka kura !! jambo ambalo sijajua hivi alipoingia ikulu NC ilikuwa tayari na msimamo huu?

Kama Rais, ndo maana imesemwa kawa Rais wa kwanza Marekani kuunga mkono ushoga na atatumia huo msimamo ktk kampeni zake.
Obama akichaguliwa tena kuwa Rais mara ya pili, yaweza kuwa mwanzo wa mwisho wa Taifa hilo kuwa Taifa Kuu duniani.
Mimi Marekani lilikosa usukani wa dunia baada ya kujiripua/kulipuliwa WTC hiyo 9/11.

Mh! Umaskini wetu unaosababishwa na uongozi mbovu ndio utakaoweza kutuingiza ktk janga hili hatari.

ndiyo maana kuna haja ya kufanya mabadiliko ya maana katika nafasi za uongozi nchini
 
kuna tetesi kuwa Eti wanataka kuvuruga mwenendo wa ongezeko la watu duniani, hoja ya kipumbavu na kishetani kuwahi kusemwa hadharani
mkuu usikurupuke kusema haya maana hujui hao Republican wakichukua nchi utaathirika kiasi gani. Kwani hujaona taarifa ya ikulu ya Magogoni wakimualika rais wako kwenda Camp David katika muda huo huo ambao Obama katoa hilo tangazo la kukubali harusi za jinsia moja!? Unajua wanachokwenda kujadili!?
Kama hukujua fuatilia hii link: MICHUZI: Obama invites four Africa leaders to Camp David
 
Mi naona watu humu hawajaelewa! Obama yuko kwenye campaign kwenye jimbo lililo idhinisha use** hajacoment kama rais
 
The heat is getting unbearable and it is clear that the guy is making some desperate moves.
Obama's own utterance via ABC news: "At a certain point I've just concluded that for me, personally, it is important for me to go ahead and affirm that I think same-sex couples should be able to get married."
He once opposed such marriages.He
later declared that his views are evolving and now the evolution has hit maturity to an official statement/public declaration.
Hopefully things wont fall apart for him.
 
Kwani huyo mgombea wa rep atasema hataki ushoga kwenye jimbo hilo? Na last time obama alipokuwa huko alocoment vipi?
 
Mm ninachojua Obama ni anti ushoga ila kwenye campgn kwenye majimbo waliyo idhinisha utasemaje wakti wao wameamua?
 
Mkuu kweli unaomba GOP wachukue White House kisa Obama amebariki ndoa za u-cameroon? kwa kifupi, u-cameroon (gays and lesbians) unaenea kwa kasi kubwa zaidi usa. Wa-usa kwa kiasi kikubwa wako very sympathetic na hawa jamaa..ss CiC afanye nini zaidi ya ku-seize the moment hasa baada ya Mitt (GOP presidential candidate) kutowaunga mkono? Binafsi siwakubali, lkn chonde chonde ndugu yangu, ukiwa usa hata kama huwakubali inabidi uwavumilie tu uwepo wao... hivyo kutumainia kwamba Obama akose another 4yrs kisa ameunga mkono same sex marriage nafikiri utakuwa unasahau makubwa aliyoyafanya kwa taifa lake. afterall, wa-cameroon hao ni meal ticket yake kuelekea WH!
Ikumbukwe kwamba ni sera zao GOP zilizopelekea kutikisika kwa uchumi Marekani hadi unemployment ikafikia double digit? Je unafahamu ni hao hao GOP waliosababisha watu wa-default mortgage zao na hivyo kuishia kuwa homeless? Je unafahamu kwamba ni hao hao GOP waliopelekea wamarekani weusi katika Gulf states, hasa Louisiana, kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao wakati wa mafuriko? GOP sera zao siku zote ni kumneemesha mwenye nacho - pure capitalists. Mbaya zaidi huyo Mitt Romney ndio hafai kabisa kuongoza hiyo nchi. Kabla hajawa gavana wa Massachusetts, Mitt kupitia kampuni yake ya Baine & Capital alisababisha watu wengi sana kupoteza ajira kutokana na policy zake (M&A, Outsoursing, Discrimination against women nk). Hapana, nafikiri Wamarekani bado wanamuhitaji Obama kuendelea kuongoza nchi yao kwa kipindi kingine cha 4yrs..sera zake kadri siku zinavyokwenda zinathibitika kufanya kazi..consumer confidence inapanda, private sector job creation inaongezeka, makampuni yaliokuwa hoi (GM, AIG, BOA, etc) yameimarika nk.
 
kuna tofauti gani baina hawa wawili katika siasa za Marekani kama utaona kwa mtizamo wa haraka wako sawa sawa tuu jambo la msingi majina ya vyama sera na muundo wa serikali hauna tofauti sawa na kula nyama mbuzi na kusema ngombe mbaya masuala kama haya gay marriage ni sera ya mgombea mmoja kutoka chama cha democratic yaani baraka Obama lakini sera za nje zinabakia chini ya mamlaka ya vyama vyote viwili vikubwa nchini Marekani

Naomba ndugu zangu waafrika na watanzania kwa ujumla sogi linaendelea hakuna kipya ambacho kinaweza kutokea ikiwa chama cha Repulican kinaweza kwenda ikulu au Obama kuchukua muhula wa pili wa uwongozi wake kupitia chama chake kama mgombea katika uchaguzi mkuu mwezi NOV , watanzania tizameni mabadiliko ya nchi yenu kiuchumi kuliko kuangalia sogi jengine hakuna utamaduni wa demokrasia ya kweli katika dunia hii ila kuna mambo yanayopingana baina upande mmoja wa sera na mwengine katika nchi yoyote duniani Obama ni tegemeo la wengi alipoweza kuingia White house jee amefanya nini kikubwa sana kuleta mabadiliko katika dunia bila shaka tunaona kwamba uchumi wa dunia una matatizo mengi na watu wengi marekani hawana kazi sasa wakati umefika kuachana na dhana za kuangalia chaguzi za kisiasa za mataifa mengine kwa watanzania msingi ni kutizama Tanzania inataka nini kwa faida ya maendeleo yake kiuchumi na kijamii
Naomba kutoa hoja
umoja 55
Washington State
 
obama is going to lose the elections coz of this....Gay marriage is a no no....i've got nothing against them but obama who claims he's religious kinda fella...should know better..i dont know whether his decisions were more political or deep down in his heart he really supports this... a marriage should be between a man and a woman full stop, ndio maana Mungu aliumba Adam na Eve hakuumba Adam na John...
 
tatizo la republicans this time wana candidate ovyooo....hayuko strong lasivyo hata kwenye opionion polls ungekutaga romney yuko way far....romney hata republicans wenzake hawamtaki na ndio kinachomsaidia obama... but i've lost respect for the guy when he decided to support gay marriage....
 
Source BBC

Awa rais wa Kwanza wa Marekani kuunga mkono ndoa za jinsia moja.

Rais wa Marekani Bwana Barack Obama amekiri kiridhia ndoa za jinsia moja na kudai kashauriana na ndugu na majirani zake na kuona kuwa ameona ndoa za bwana na bibi hazijakidhi matakwa ya watu wote na anapenda watu wote wawe huru kuamua kuoa au kuolewa na junsia yoyote.

Ameongeza kuwa kuna askari na watumishi wengi nchini mwake wanapenda na haipendezi kuwanyima haki yao.

My take.

Hiyo misaada kwa mmarekani ataweka na masharti ya nanma hii Jk atakataa kweli

.
Sasa nakubali na kusadiki maneno ya ufunuo 13 ya jinsi yule mnyama wa baharini kwa ukushirikiana na yule wa nchi kavu jinsi watakavyowabana watu. Ni wakati sasa umetimu wanadamu hatakuwa na haki ya kununua wala kuuza isipokuwa wawe na chapa ya huyu mnyama yaani 666.
Naweza kuona kibano alichopata Mugabe kwa sababu tu aliwaita ******* mbwa. Naweza kuona kibano alichopata B. Wamutharika kisa tu aliwahukumu hatia wanaume wawili waliofunga ndoa hadharani. Na Yule mama aliechukua uraisi baada yake kwa msaada wa unabii wa kisasa ambao kimsingi nabii huyu nae amesujudia umagharibi, amejisalimisha kwa mabwana zake kina Cameron. Macho ya walimwengu yametiwa kiwi na wala hawaoni. Wameungana kwa pamoja kupiga kilele za kuachiliwa huru kwa Baraba na kwamba Yeshu aondoshwe kwa kusulubiwa.
NAYAKAZA MACHO YANGU SASA KUELEKEA MBINGUNI, NAYO YAMEPENYA ZAIDI YA HIYO MBINGU HATA KATIKA KITI CHA ENZI CHA MUNGU MWENYEZI. HAPO NDIO NAIWEKA NANGA YANGU. NAJUA MARA MOJA TENA MUNGU ALIAHIDI KUVITETEMESHA VITU VYOTE VYENYE KUTETEMEKA, NAVYO KWELI VITATETEMA KAMA INAVYOTOKEA SASA, BALI KIMOJA TU NDICHO HAKITATETEMESHWA NACHO NI NENO LAKE. WALIO NDANI YAKE HAWATETEMESHWI HAKIKA.
.
 
tatizo la republicans this time wana candidate ovyooo....hayuko strong lasivyo hata kwenye opionion polls ungekutaga romney yuko way far....romney hata republicans wenzake hawamtaki na ndio kinachomsaidia obama... but i've lost respect for the guy when he decided to support gay marriage....

Do not ever underestimate Governor Romney. He is no slouch.
 
Nice view, analysis, but u should go step farther.....ni hivi Obama kasema....just to hit the point...
For NC. North Carolina state laws inatambua Same sex marriage as LEGAL.... so yy akawa ana campaign kaulizwa swali specifically on NC... ndio akasema is ok REGARDING NC law.. ambayo wananchi wengi wa NC walirithia....

Wewe unapata wapi habari zako wewe?

Juzi voters wa NC wamekataa gay marriage. Check your facts.
 
Back
Top Bottom