Obama becomes first US President to support gay marriage

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Barack Obama becomes the first US president to back gay marriage, speaking out on the politically charged issue in a TV interview. Effectively, Obama has ended months of hedging on the issue of gay marriage by saying he thinks same-sex couples should be able to wed. He has become the first sitting US president to back gay marriage.

Mitt Romney, the Republican who is set to challenge Mr Obama for the White House in November's elections, promptly said he was against gay marriage. In recent days, Vice-President Joe Biden and cabinet member Arne Duncan had expressed support for gay unions.
A Gallup poll on Tuesday A Gallup poll on Tuesday suggested that 50% of Americans were in favour of legalising gay marriage - a slightly lower proportion than last year - while 48% said they would oppose such a move.

There is a risk in this. For some it will further brand Mr Obama as the devil in disguise, destroying the fabric of America. That sharpens the election, but it does no harm to his campaign. Most social conservatives will not vote for Mr Obama anyway. But there are natural supporters, like African-American evangelical Christians, who won't like this. But Obama explicitly mentioned his religious faith:

"When we think about our faith, the thing at root that we think about is, not only Christ sacrificing himself on our behalf, but it's also the Golden Rule, you know, treat others the way you would want to be treated."

While not doubting that the president has struggled long and hard with this, this seems to me a deliberate moment.

BBC
 
Bad move...

Indiana, Iowa, North Carolina, and possibly Ohio will all go red in November.
 
Source BBC

Awa rais wa Kwanza wa Marekani kuunga mkono ndoa za jinsia moja.

Rais wa Marekani Bwana Barack Obama amekiri kiridhia ndoa za jinsia moja na kudai kashauriana na ndugu na majirani zake na kuona kuwa ameona ndoa za bwana na bibi hazijakidhi matakwa ya watu wote na anapenda watu wote wawe huru kuamua kuoa au kuolewa na junsia yoyote.

Ameongeza kuwa kuna askari na watumishi wengi nchini mwake wanapenda na haipendezi kuwanyima haki yao.

My take.

Hiyo misaada kwa mmarekani ataweka na masharti ya nanma hii Jk atakataa kweli
 
It is HUMAN RIGHT VS HUMAN CULTURE,kama big Nations kama UK na US wanatangaza na kuridhia mambo ambayo yapo kinyume na Maadili ya mtz tujiulize tutakuwa wapi kimisaada kwan TZ Hutegemea pia misaada from outside including those Nations,Nahisi IT IS THE TIME kwa Tanzanians kuwaza ni namna gani twaweza kuwa selfdependent na kutokutegemea zaidi misaada from OUTSIDE! Cjajua kale ka statement ka "UJUMBE HUU UMELETWA KWENU NA ............. KWA USHIRIKIANO WA WATU WA MAREKANI" kataendelea kusikika au katapotezewa au watakiedit!!
 
Tuwe makini na hii taarifa, alichofanya Obama ni kuelezea mtazamo wake binafsi kama raia na si kama rais wa Marekani, ndiyo maana akasema anatambua kuwa yapo majimbo yenye mtazamo tofauti.
Kwa kufanya hivyo haina maana kuwa ametangaza huo kuwa msimamo rasmi wa Marekani kama taifa au serikali.
 
Huu ndio msimamo wake yeye na amesita kusema kama yeye anakubali ushoga ila anadhani walio hivyo wana haki ya kutambulika. Nadhani hawa wazungu wanakotupeleka sijui.
 
Tuwe makini na hii taarifa, alichofanya Obama ni kuelezea mtazamo wake binafsi kama raia na si kama rais wa Marekani, ndiyo maana akasema anatambua kuwa yapo majimbo yenye mtazamo tofauti.
Kwa kufanya hivyo haina maana kuwa ametangaza huo kuwa msimamo rasmi wa Marekani kama taifa au serikali.

Kwani Kikwete akiridhia hapa kwetu mtasema ni kaulu ya Kikwete au Rais?
 
Jamani jambo wahenga walisema jambo usilolijua ni kama usiku wa giza,kutokana na extenal push(NGUVU YA FREE MASONS) Imempasa kufananya hivyo msimlaumu!
 
freeemasons aka agents wa shetani ibilisi wako kazini kuanzia obama na wadau wake wote..
 
Hilo cyo jambo la ajabu kwa wazungu hawa majamaa daima hufanya hufanya yale ambayo yapo against na MUNGU xo tusiwashangae bado yatazuka mengi makubwa
wamewashinda hata watu wa NABII LUTU kwani wao hakuoana bali hawa sasa wameamu kuoana hamuoni kuwa sasa ibilisi ame Improve???
 
Nice view, analysis, but u should go step farther.....ni hivi Obama kasema....just to hit the point...
For NC. North Carolina state laws inatambua Same sex marriage as LEGAL.... so yy akawa ana campaign kaulizwa swali specifically on NC... ndio akasema is ok REGARDING NC law.. ambayo wananchi wengi wa NC walirithia....
In US, ukiwa una campaign ni ngumu sana kwenda against state laws eg Only in NC 61% of Americans support same sex marriage... Halafu uje uwaombe vote.. then useme hukubaliani na same sex marriage.... utakosa kura zao kwani hujali HISIA ZAO tena ON SEX ISSUES very critical....

Tuwe makini na hii taarifa, alichofanya Obama ni kuelezea mtazamo wake binafsi kama raia na si kama rais wa Marekani, ndiyo maana akasema anatambua kuwa yapo majimbo yenye mtazamo tofauti.
Kwa kufanya hivyo haina maana kuwa ametangaza huo kuwa msimamo rasmi wa Marekani kama taifa au serikali.
 
Hilo cyo jambo la ajabu kwa wazungu hawa majamaa daima hufanya hufanya yale ambayo yapo against na MUNGU xo tusiwashangae bado yatazuka mengi makubwa
wamewashinda hata watu wa NABII LUTU kwani wao hakuoana bali hawa sasa wameamu kuoana hamuoni kuwa sasa ibilisi ame Improve???

Wa Zanzibar, Mombasa na Uarabuni ni wazungu pia? Na wale wa kwenye taarab je?
 
Jamani jambo wahenga walisema jambo usilolijua ni kama usiku wa giza,kutokana na extenal push(NGUVU YA FREE MASONS) Imempasa kufananya hivyo msimlaumu!

Mwaga basi ushahidi tuuchambue. Hivi watu kama nyinyi mnajua kiasi gani kuhusu Freemasonry? Nadhani itafika siku mtasema vituo vya mafuta ni vya Freemasons kwa hiyo watu wasiweke mafuta kwenye magari yao.
 
Tuwe makini na hii taarifa, alichofanya Obama ni kuelezea mtazamo wake binafsi kama raia na si kama rais wa Marekani, ndiyo maana akasema anatambua kuwa yapo majimbo yenye mtazamo tofauti.
Kwa kufanya hivyo haina maana kuwa ametangaza huo kuwa msimamo rasmi wa Marekani kama taifa au serikali.

Mkuu yule ni rais wa nchi mambo ya kauli binafsi hapo haipo. Hebu angalia kwenye media wanavyoiripoti hii habari hawasemi Barack Hosein Obama bali Rais.
 
Back
Top Bottom