Obama apigwa denda Unhate

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Rais Barack Obama apigwa denda na marais wa Uchina na Venezuela katika picha za kampeni inayoitwa Unhate,ila picha ya Papa akiliwa denda na Mmisri imeondolewa baada ya songombingo. Nafikiri uCAMERON @ work. Nalog off
 
Hapo washawasha aje atoe maelezo ya kina, mie sielewi kabisa kabisa
hapa nani anapigwa denda?..........by the way, hii ndo denda ee!!

benetton_unhate_obama_hu_jintao_dps_ssh.jpg
 
avatar23521_1.gif


Na hii sura bana nako kuna kaujumbe fulani, ujumbe wenyewe unasema hivi: "Wee kik wee kik wee kik wee kik wee kik" ha ha ha ha. (Kik ni konyezo)


ahh sura yangu inasema...poa...mambo poa kwa yesu....UNAPINGA?
 
Back
Top Bottom