Obama anaswa "akila denda" uwanjani

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7
[h=3][/h]
obama-kiss-cam-1.jpg
Awwwww love is in the air
0.jpg
President Obama and 1st Lady Michelle Obama hit up DC’s Verizon Center for the Brazil VS USA , pre Olympic basketball game! The 1st couple was caught on the kiss cam twice! The 1st time , Presdent Obama was denied a kiss from his wife and the crowd roared in boo’s. Later in the evening the kiss cam caught the 1st couple again and this time, they gave the crowd what they wanted!

KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI: OBAMA ANASWA "AKILA DENDA" UWANJANI
 
it was politically very calling na nilitazama jinsi Wamarekani walivyofurahia kitendo cha Obama na Mitchell kula mate live.
 
Hebu msitubabaishe! They were bound to be caught!

yeye kama rais macho yote hako hapo na basket ball tu! He knew it, they knew it.

kama they kissed they knew lazima wawe camd coz kuna moments lazima a kapo walioonesha

intimacy hasa kissing wawe broadcast hapo uwanjani. in this case Obama, who would pass that chance?

what is so surprising about it and make a big deal of it? this is just kupaishana tu.
 
Mkuu unajua maana ya kunaswa? Hizo mbona ndio tabia zao au wewe unadhani Obama ni muafrika.
 
Kusema kanaswa sio sahihi kabisa. Hii kiss cam ni kama mchezo, kunakuwa na tv inazunguka. Ikikumulika mnatakiwa kukiss na mnaonekana uwanja mzima. Kama umeenda na shemejio unajijuuuuu

Kuna mtu nataka kwenda Nae match ya basket hehehee:israel:
Nitakuwa na Dili na jamaa wa kiss cam wawe wanatutarget kila saa,lol

Back
Top Bottom