Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,884
Nguvu isiyo ya kawaida ya Taifa la Marekani kuingia Tanzania inaweza kuwa na neema au kilio baadaye. Pamoja na ujio wa Rais Obama akiambatana na familia yake, George W. Bush formal president (USA) imefahamika kwamba ataambatana naye katika safari hiyo hata kama hawataongozana, ila ni safari ya wakati mmoja huku wakija kufanya kile wanachokisema KUHUTUBIA WAJIBU WA WAKE ZA MARAIS KATIKA KUINUA MAISHA YA WANANCHI.
Kabla ya hili, mke wa Kikwete Salma alipewa heshima ya kutunukiwa kitu hicho majuzi tu huko Marekani, kumbe walikuwa wanaandaa mazingira hayo.
Kwa vyo vyote kuna kitu ambacho kinawavutia wamarekani kumimika nchini zaidi ya safari ya kisiasa kama tulivyozoea kufikiria.