Obama amwambia rais Bagbo akubali kushindwa. JK je?

Who is Obama? is he Tanzanian?

Americans have common interest which does not change whether Republican or Democratican stay in Power!

Americans are after something in Tanzania!!1 Dont trust them oohh!!

Kindly, wipe away that slavish statement.
Na siku maslahi yakiisha, shughuli ndipo itaanza ama pia yaweza kupatikana magaidi waliojificha ndani ya Tanzania. Mtoa mada amesahau kwanini asiitazame kwanza Uganda!! na amesahau zaidi kwanini asiitazame pia Pakistan. :teeth:
 
KIKWETe hakushinda alitangazwa na NEC tuhuma za kuzushiwa kupachikwa uongozi ni nzito mbele yake binafsi na mbele ya jumuiya ya kimataifa asingepachikwa nina uhakika sasa hivi angesema vinginevyo hajawahi kupinga hadharani kusema yeye ameshinda kihalali tunachosikia ni uchaguzi umekwisha tutibu majereha

Wapi Dr.Slaa kasema Kikwete hakushinda?

Ninukulie sehemu au unipe link ya video nimsikie
 
Hakuna kwa mujibu wa kumbukumbu zangu ila alisema matokeo yaliyompa ushindi JK ni ya kupikwa na NEC na yeye na kundi lake wakaomba muda waje na matokeo yao lakini hadi sasa hawajafanya hivyo, nadhani somewhere calculator iliishiwa wino au mwanakijiji alichelewa kumtumia matokeo.
Naomba nisiwe mwenye kusema chochote hapo! :teeth:
 
Sawa mkuu, ni viongozi wetu na wanafanya hivyo

Lakini bado I insist, isifikie muda common citizen akaona ukombozi uko kwa obama, ukiwaambia leo watanzania tuandamane haumuoni mtu.

USA is nothing for the fate of our country na ni aibu kubwa kusema watuamulie mambo yetu, acha viongozi watuaibishe lakini siyo wote

kenya na ukame wao hawawategemei wahisani kwenye bajeti yao, watanzania na utajiri wote hamna kitu!!!! unajua inashangaza
Waberoya! Alisimama bwana mkubwa alipoulizwa kwanini Tanzania ni masikini akajibu kwa sauti kubwa "HATUNA RASILIMALI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"

Ka-ugonjwa hakohako kameanzia huko juu na kutapakaa mpaka chini :embarrassed:
 
Obama amemwambia rais Bagbo kwamba akubali alishindwa kwa mpinzan wake na aachie madaraka.
Kwanin Obama hakumwambie JK kwamba ameshindwa na amuachie Slaa nchi?
Kama mnakumbuka mmoja wapo wa ahadi za Obama kwa Afrika, ilikuwa ni kushugulikia marais ving'ang'anizi wanaoiba kura. Mbona he's not stood by his words? Ahadi ni deni

Majibu:

Kwa Gbagbo wanalima cocoa ambalo ni malighafi ya dawa za kulevya zinazosababisha mamilioni ya $ kupotea kila mwaka, na wakati mwingine wanajeshi wanapoteza maisha katika mapambano na magenge ya walanguzi wa dawa za kulevya.

Kwa Mkwere kuna uranium, tanzanite, gold, diamond, ruby, coal, natural gas, samaki wa ziwa victoria, vitalu vya uwindaji, meno ya ndovu, miti bora ya mbao, you name it. Yanahitajika sana marekani kwa ajili ya kuendeleza technolojia na uchumi kwa ujumla. uliza inawagharimu nini Wamarekani kuvipata vitu hivi kutoka nchi inayoitwa kisima cha amani? vyandarua.

Sasa hapo Obama atasema nini kwa Tanzania? Hana jeuri ya kusema lolote.
 
He has no power to do so. But Hata hivyo, Dr. Slaa angeenda hatua moja mbele na kuunda serikali, kungetokea machafuko.
 
Obama hawezi kumkataa JK kwa kuwa JK ni chombo kiteule cha Marekani, kumbuka kuna uranium, kuna dhahabu ambayo 90% inamilikiwa na wamarekani kupitia kampuni ya African Barrick Gold, pwani ya kigamboni wanaitaka nk. Hivyo JK ni kipenzi cha Marekani kwani anawawezesha kutuibia raslimali zetu, kumbuka Obama ni mmarekani wala siyo Mkurya, yuko pale kwa interest za Marekani.
 
Obama hawezi kutamka kwa sababu Slaa mwenyewe hajatamka wazi kuwa yeye ndiye aliyeshinda.

Sisi wananchi kwa mapenzi yetu tu, tume infer kuwa Slaa kasema hivyo, lakini hakuna sehemu alotamka hivy. (As far as I know)
 
Endeleeni kudanganyana tu, nashangaa ilichukua muda mfupi tu kwa Slaa kuja na polls zake zilizompa ushindi sasa sijui kwa nini hatangazi na hayo matokeo yake maana kuna watu bado wanaota.
 
Majibu:

Kwa Gbagbo wanalima cocoa ambalo ni malighafi ya dawa za kulevya zinazosababisha mamilioni ya $ kupotea kila mwaka, na wakati mwingine wanajeshi wanapoteza maisha katika mapambano na magenge ya walanguzi wa dawa za kulevya.

Kwa Mkwere kuna uranium, tanzanite, gold, diamond, ruby, coal, natural gas, samaki wa ziwa victoria, vitalu vya uwindaji, meno ya ndovu, miti bora ya mbao, you name it. Yanahitajika sana marekani kwa ajili ya kuendeleza technolojia na uchumi kwa ujumla. uliza inawagharimu nini Wamarekani kuvipata vitu hivi kutoka nchi inayoitwa kisima cha amani? vyandarua.

Sasa hapo Obama atasema nini kwa Tanzania? Hana jeuri ya kusema lolote.

Mazee inabidi ujifunze tofauti ya cocoa inayotengeneza chocolate ambayo inalimwa Ivory Coast, na coca inayotengeneza cocaine inayolimwa Colombia.

Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa, do your research before exposing your ignorance.

Comments like these gives you a snapshot of the quality of the information some of us bring here.
 
Who is Obama? is he Tanzanian?

Americans have common interest which does not change whether Republican or Democratican stay in Power!

Americans are after something in Tanzania!!1 Dont trust them oohh!!

Kindly, wipe away that slavish statement.

Ni kwa sababu ya nakshi katika badget yetu ndiyo maana tunamtegemea Obama. Budget yetu imekuwa tegemezi hata kwa recurrent expenditure!. Tujadili ni namna gani tujikomboa katika uchumu ili tuishi bila kutegemea nje na hata wakisitisha misaada sie tuendelee kudunda kwa kwenda mbele
 
Mazee inabidi ujifunze tofauti ya cocoa inayotengeneza chocolate ambayo inalimwa Ivory Coast, na coca inayotengeneza cocaine inayolimwa Colombia.

Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa, do your research before exposing your ignorance.

nimeipenda hiyo
 
Pili, unataka apewe kuongoza nchi mtu ambae anapora wake za watu? Hata kanuni za kanisa lake, ambalo halimruhusu kuwacha na kuchukuwa mke wa mtu ambae hajaachwa, kazivunja. Mie ntaishangaa Tanzania na dunia itayoruhusu hilo.[/QUOTE]

Inform yourself of the facts before making unsavoury statements.
 
Pili, unataka apewe kuongoza nchi mtu ambae anapora wake za watu? Hata kanuni za kanisa lake, ambalo halimruhusu kuwacha na kuchukuwa mke wa mtu ambae hajaachwa, kazivunja. Mie ntaishangaa Tanzania na dunia itayoruhusu hilo.

Inform yourself of the facts before making unsavoury statements.[/QUOTE]

crap!!
 
Ni kwa sababu ya nakshi katika badget yetu ndiyo maana tunamtegemea Obama. Budget yetu imekuwa tegemezi hata kwa recurrent expenditure!. Tujadili ni namna gani tujikomboa katika uchumu ili tuishi bila kutegemea nje na hata wakisitisha misaada sie tuendelee kudunda kwa kwenda mbele

Maneno yako yamejaa huzuni sana, naweza kusoma moyo wako wa kuwa ni wenye huzuni na masikitiko kulingana na mwendo wa nchi yetu.

Kuna long history ya kuwa kwa nini viongozi wetu wako hivi, I mean long one! but after detailed research I came up with that change should start "individually'' na kuusambaza kwa wengine, kwa nchi yetu hii unaweza kupata ugonjwa wa moyo. Yes we need good leader, yes we need development, but our culture, historical background, utumwa, dini zetu hizi, aina ya elimu, n.k imepelekea kuwa hivi tulivyo.

Believe me, lots of Tanzanians have proposed what should be done regarding our budget, those proposals ended up in dustbins
 
Attach and upload your reseach. (usiseme ni siri). (mikataba ya serikali tu ndiyo siri).

Isijekuwa 'mazungumzo ya kwenye vijiwe vya kahawa' unayaita utafiti.
 
BRAVO Kodvwaaa...

Maskini TZ tunatawaliwa na mtu ambaye hatakumchagua...huu uzoba TZ utaisha lini?? natafuta watu wa kuingia nao msituni....this is too much.
 
Hakuna kwa mujibu wa kumbukumbu zangu ila alisema matokeo yaliyompa ushindi JK ni ya kupikwa na NEC na yeye na kundi lake wakaomba muda waje na matokeo yao lakini hadi sasa hawajafanya hivyo, nadhani somewhere calculator iliishiwa wino au mwanakijiji alichelewa kumtumia matokeo.

Slaa hana matokeo ya ukweli , aliyo nayo ni yale ya uzushi ambayo wamemwambia ayatoe na yeye mpaka leo amekaa kimya kabisa. Ki ukweli hakushinda urais, na sidhani kama angekuwa na matokeo ya ukweli ninavyo mjua Slaa anavyopenda kutoa data angekuwa hajatoa mpaka leo. Kwa maana hiyo CHADEMA ndio wanao chakachua matokeo
 
Mazee inabidi ujifunze tofauti ya cocoa inayotengeneza chocolate ambayo inalimwa Ivory Coast, na coca inayotengeneza cocaine inayolimwa Colombia.

Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa, do your research before exposing your ignorance.

Comments like these gives you a snapshot of the quality of the information some of us bring here.

vipi madini yetu kubadilishwa na vyandarua? mbona huja-comment, unaishia kuleta vijembe na hadithi za Colombia? Mimi Colombia sijawahi fika. Nikatafute nini? Kama ni pipi hata dukani zipo.

cocoa puff [marijuana laced with cocaine]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom