Obama amefulia: Sasa maji ya shingo!!

Angefanya vizuri zaidi awaachie osama azidi kuwamaliza. kamaliza moja then atafanya lingine mpeni support. hata ngozi ya mwili wako unaichukia, loooo, rudi bongo uone maisha magumu yakoje.

... kule mndenyi kitochi ghali sana. kwi kwi kwi!
Anyway, Ronald Reagan aliwafaa sana.
 
Kwa kweli ana kazi kubwa. In fact ataweka historia ya kuyeyuka na ndoto zake, Americans do not take bla bla they take money which BO has failed to fill in their pockets
 
Kwa kweli ana kazi kubwa. In fact ataweka historia ya kuyeyuka na ndoto zake, Americans do not take bla bla they take money which BO has failed to fill in their pockets

Kumbe na US kuna bwana mapesa? Lol!. Siasa za Marekani one day is more than a year. It is too early to bet on the presidency of Obama. GOP wamepewa House tokea waingie hawaibuka na idea hata moja ya kukuza uchumi, zaidi ya kukazania ku-repeal everything Obama did, Ila sijui kama watahitaji kumrudishia Uhai na OBL. Their strategy is very clear to defeat Obama, ila subiri Kampeni zianze watu waanze kupewa ukweli wa mambo. USA walifanya makosa sana kuwakabidhi GOP House of representative katika flagile time. Watu sasa wamejua kuwa GOP is not for them but for the rich, Ukija kwenye suala la medicare ku-go Public ndiyo hapo utakapoona kuwa siasa za marekani ni ngumu. pundits wanabishana kila kona na ukiwasikiliza unaweza amini kuwa Obama sasa is over au GOP hakuna strong candidate. Ngoja apatikane mmoja upande wa GOP wa kukabiliana na Obama hapo ndipo utajua maana ya Omera!
 
hakuna cha wamarekani wala nini ni watumwa tu wa akili wanaoishi kwa ndoto za watu wengine

Last time I checked, hapa JF kuna international forum! So lazima tutaongelea habari za kimataifa. Hatuwezi kuongelea siasa za bongo bila kujifunza huko tuliko-copy siasa hizo. Pia, kwa nchi inayotegemea misaada kama yetu ni lazima iwe na interest na nani ni mgombea ktk nchi hizo, maana sera zao kuhusiana na mambo ya nje zinawekwa wazi mapema. Umeona conservatives na Liberals wanavyobana matumizi? Si umeshaisikia serikali yako ikilalamika kuhusu wahisani kutokutimiza ahadi zao za bajeti?

Mwisho, hatuishi kisiwani, ujinga unaofanywa na viongozi wengine ktk nchi zao unatuathiri wote. Unamkumbuka G.Bush na silaha za maangamizi Irak, ambazo mwisho wa siku alishindwa kutuonyesha zilipo? Unakumbuka bei ya mafuta ilifikia kiasi gani wakati wa vita vya Irak? Leo Gadaffi anapigwa, uzalishaji wa mafuta umepungua na bei kuongezeka. Unajua kwanini Gaddafi anapigwa na rais wa Yemen na syria hawajapigwa?
 
lakini pia usitufanye watumwa wa akili wa kuangalia na kushabikia ya wengine huku tukisahau au kudharau ya kwetu.
 
Kama USA wanataka wapitwe na China kama ilivyowapita Wajapan, then waendelee na Mjaluo
 
stop being stupid minded, kuwa kijiji haina maana kuwa you will have an opportunity to vote for or against Obama na haimfanyi mtanzania kumpigia kura obama au rais wa nchi yo yote ile kadri anavyotaka, stop thinking using your stomach, use your brain

Jamaa kama ana passport ya blue kwa nini asitekeleze haki yake ya kidemokrasia na akapiga kura? Tatizo liko wapi mbongo kuchukua uraia wa nchi nyingine?
 
lakini pia usitufanye watumwa wa akili wa kuangalia na kushabikia ya wengine huku tukisahau au kudharau ya kwetu.

Sasa wewe tatizo lako liko wapi? Raia wa nchi yoyote duniani ambaye yuko kwenye diaspora atakuwa anafuatilia events za nchi anayoishi pamoja na nchi yake alikozaliwa ama alikotoka. Kuna ubaya gani kwa mtanzania anayeishi unyamwezini akifuatilia events za US na bongo?
 
kwa kawaida wazungu,wanakasirika zaidi pale mweusi anaposhindwa kufanya kile walichotarajia

hasira zao zinakuwa mara mbili ya mzungu ,kama ni mzungu ameshindwa
 
[h=1]Obama: My family approves of a one-term presidency[/h]By Rachel Rose Hartman rachel Rose Hartman – 55 mins ago http://news.yahoo.com/s/yblog_theticket/20110614/ts_yblog_theticket

Though the president himself, his staff, and his supporters around the country are busy devoting everything they've got to his 2012 re-election campaign, Obama revealed Monday that his family isn't necessarily as "invested."
"Michelle and the kids are wonderful in that if I said, 'You know, guys, I want to do something different,' they'd be fine. They're not invested in daddy being president or my husband being president. But they do believe in what we're doing," Obama told NBC "Today Show" host Ann Curry in an interview that aired Tuesday.
And the president revealed that even he sometimes feels like giving up.
You can watch the interview above.
"I'm sure there are days where I say that one term is enough," the president said, but he added that what keeps him going is the unfinished work regarding energy, education, and other issues.
In the end, Obama said, if his family is happy, he's happy.
"If the family is doing well, if Michelle is still putting up with me, then I've got enough energy to keep on doing the work that I'm doing."
 
Inawezekana kweli ana wakati mgumu kwa sasa, lakini anaweza kupata umaarufu tena baadae!
 
lakini pia usitufanye watumwa wa akili wa kuangalia na kushabikia ya wengine huku tukisahau au kudharau ya kwetu.
Mbona hamlaumu watu wakidiscuss UEFA cup?......mbona bongo kuna washabiki wa manchester,barcelona etc..?
 
Kumbe Jamiiforums kuna Wamarekani kibao! Mi nilifikiri ni forum ya wabongo tu!

wanafagia vyoo kule new york,sisi tupo home!!!!!!!!!tunapanda pipa na kushuka china na kurudi siku hiyo hiyo,wao wameona kule ndo wamefika labda kwa sababu ya maghorofa ya obama,no place like home,kwanza tumesikia wanajiuza kwenye internet!
 
quote_icon.png
Originally Posted by Utingo
"lakini pia usitufanye watumwa wa akili wa kuangalia na kushabikia ya wengine huku tukisahau au kudharau ya kwetu."

Ukweli ni kwamba, tupende tusipende, Marekani ikiyumba dunia nzima inayumba. Mparaganyiko wa kiuchumi wa 2008 uliibukia Marekani na kila pembe ya dunia ikapata 'share' yake. Subiri uone iwapo wa-Repub watang'ang'ania kutopandisha kidogo paa la deni la taifa uone kimbembe kitachoikumba dunia! Kwa hivyo kujifanya hatuoni yanayotokea Marekani ni kujidanganya au ni fikira finyu!!!
 
wanafagia vyoo kule new york,sisi tupo home!!!!!!!!!tunapanda pipa na kushuka china na kurudi siku hiyo hiyo,wao wameona kule ndo wamefika labda kwa sababu ya maghorofa ya obama,no place like home,kwanza tumesikia wanajiuza kwenye internet!

Kama mawazo yako ni kwamba kila mbongo anayeishi US ni mfagia choo ama anajiuza kwenye net basi pole sana....na You need to see a doctor!
 
Back
Top Bottom