Obama alituaminisha kuwa Clinton ni dhaifu mwaka 2008

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,842
Obama alituaminisha kuwa Clinton ni thaifu mwaka 2008 .

Kweli hata atupashwi kuwalaumu wakina Mbowe na wenzie waliomponda vikali Lowassa uko nyuma lakini sasa hivi wako naye wanafanya naye kila jambo siasa ni unafiki duniani kote .

Mtu yupo tayari kusema Chochote ili tu apate wafuasi wa kumuunga mkono .

Obama alimshambulia sana Hillary Clinton mwaka 2008 lakini sasa hivi anafunika na blanket ili aonekane msafi .

Hillary alimshambulia Obama sasa hivi anaonekana ndiye wa kumbeba kwenda ikulu ya Marekani.

Trump alimshambulia Obama kwa ubaguzi sasa hivi anayakana maneno yake na kusema alikuwa akitumwa na Hillary Clinton.

Lengo ni moja tu kuusaka urais hivi ikulu uwa kuna nini?

View attachment 408292
 
1475055578625.jpg
 
Mbona Mbowe aliwahi kusema Lowassa ni dhaifu alafu baadae akampigia kampeni?

Siasa ndivyo ilivyo,....inalenga faida ya wakati uliopo.
 
Yes of course ndio hoja yangu...
Mwanasiasa akitaka kufa kisiasa azungumze ukweli tu.

We unadhani kwenye kampeni kama angesema vipaumbele ni;
1.Kutumbua wafanyakazi hewa.

2.Kuzuia mikutano ya kisasa hadi 2020.

3.Kuzima bunge live.

4.Kufanya ukaguzi wa kushtukiza na

5.Kuagiza watu wafyatue watoto ili hali hatatoa chakula cha msaada, unadhani angepata kura?

Mwanasiasa na uongo ni ndugu.
 
Sijui ambavyo wangemkata wananchi ......
 
Back
Top Bottom