Obama akataa Picha za kuthibitisha kifo cha OSAMA kuoneshwa hadhrani.

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Rais wa marekan Barack Obama amekataa kuweka hadharani picha zinazothibitisha kifo bha OSAMA BIN LADEN
source.www.bbc.co.uk

and
www.cnn.com
 
Ana haki na maamuzi. Nimepita tu. Mwenye nguvu mpishe,na mjuwe hakuna haki duniani haki ni kwa Mungu pekee!!
 
Anasoma alama za nyakati!
Sababu iliyofanya Osama asikamatwe akiwa hai ni hiyohiyo inayolazimu picha zisionyeshwe!
Unawajua al-qaeda wewe?
 
Sasa akizionyesha

Vita vikazidi vya wafuasi wake kuua watu kila mahala yaani kila nchi as msisahau kuwa walibomu embassy yao ya TZ mtafanyaje? Mtasemaje?

Watachukua picha hizo na kuziabudu na kufanya madhara embu

Acheni azuie wengine tunataka bado kuishi
 
huo ndio ukwel hawa jamaa wa alqaemda wana hasira zinazoongezeka kila dakika nadhani wakiona hzo picha ni vita isiyokwisha!
 
huo ndio ukwel hawa jamaa wa alqaemda wana hasira zinazoongezeka kila dakika nadhani wakiona hzo picha ni vita isiyokwisha!

...Kwa hiyo hawatafanya hivyo kwa sababu tu picha hazikuonyeshwa hadharani potelea mbali kwamba OBL ameuawa kwa kupigwa risasi?? So it all comes down to Show or not to Show the pictures eh? Sounds so hollow to me. HAWANA.

Back
Top Bottom