Obama Akasirishwa na Hotuba ya Rais wa Iran, Ahmedinejad!

Hili tukio limezua utata mkubwa USA kwani pia kuna shaka kuwa kama sio planned attack from inside kwa nini waziri wa ulinzi alituma kikosi cha ziada cha uokoaji kule New York siku moja kabla ya tukio? na wadadisi wa mambo wanaenda mbali sana kwa kulihusisha tukio hili na dini ya Freemason, ambayo siku 9/11 kwa dini hii uhusishwa na utoaji sadaka ya damu kwa MUngu wao Lucifer! na mbaya zaidi Bush anasadikiwa kuwa ni mfuasi wa dini hii! Na kwanini Ndege mbili na zigonge WTC well, inasemekana tukio hili lilipangwa miaka 11 kabla ya tukio na waliamua kutumia utabiri wa zamani uliosema kuwa " Nawaona ndege wawili wa chuma wakigonga minara miwili katika nchi iliyoinuka na kuwa taifa kubwa na tajiri" ndio sababu ya kutumia ndege mbili na kugonga WTC. waliamua kutumia vijana wa kiarabu ili kulink na al queda na kuficha ukweli wa uhusika wao! Pamoja na dhana hii lakini swali kubwa linabaki pale pale " hata kama Bush ni katili na muuaji ( kama tunavyoshuhudia kule Irak) lakini is he capable of killing his own brother and sisters just for the sake of stupid blood sacrifice?

Kwani Kibwetere alifanya nini kwa waumini wenzie wakiwemo ndugu zake humo ndani? Usifanye mchezo na imani eti wanaenda peponi wakajichoma moto wote kisa wapate kwenda peponi. Inawezekana na Bush akafanya hilo anyway time will tell.
 
Mtasema mengi sana kumtetea gaidi la kiislamu Osama bin Laden! Hivi ni kichaa gani anayeweza kuwaua wananchi wake zaidi ya 3,000 eti "kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi" ya ndani au "kulinda Taifa la Israel?" Muda si mrefu, denier of everything, atakana kwamba aliwahi kuwa Rais wa Iran! Only the crazy Ahmedinejad can think along those lines!
Buchanan, historia ya Marekani imeonyesha kuwa serikali ya Marekani ilijiingiza kwenye vita vingi kwa nia ya kuyumbisha nchi ambazo zimeonyesha potential ya kushindana nao kiuchumi na kisiasa. Kila vita inahitaji sababu. Mnamo mwaka 1915, meli ya Kimarekani/Kiingereza ya Lusetania ilitumwa kimakusudi kwenye North Sea LICHA YA eneo hilo la bahari kutangazwa wazi kuwa eneo la vita. Tukio hilo liliua zaidi ya wamarekani 1,000, na iliipa Marekani kigezo cha kujihusisha kwenye Vita ya Kwanza ya Dunia. Kama Malaria Sugu alivyosema, nia ya Japani kushambulia bandari ya Pearl Harbor ilijulikana kabla ya tukio, lakini Marekani waliiruhusu ili wapate kigezo cha kuingia Vita ya Pili ya Dunia NA kuonyesha dunia nzima nguvu yao ya kivita kwa kuipiga mabomu ya kinyuklia miji ya Hiroshima na Nagasaki.

Vipi kuhusu Operation Himmler? Ndiyo operesheni iliyompa Adolf Hitler uhalali wa kuvamia Poland. Mmoja wa matendo ya operesheni hiyo ilikuwa uvamizi wa Gleiwitz. Wanajeshi wa kijerumani walijivisha uniform za Kipolish (Poland), kisha wakaigiza kuvamia na kuteka stesheni ya redio ya Gleiwitz na kurusha matangazo ya kisiasa ya kupinga serikali ya Ujerumani. Ili kuifanya shambulio hilo lionekane halisi, usalama wa taifa wa Ujerumani wakamkamata Franciszek Honiok - mjerumani aliyejulikana kuunga mkono serikali ya Poland, wakamwua kwa lethal injection, kisha wakaipiga maiti yake risasi. Vyombo vya habari vilieleza kuwa Honiok ndiye aliyeongoza mashambulio na kuuwawa katika mapambano. Matokeo: Wajerumani wakaunga mkono kuvamia Poland, na wanajeshi na raia wengi - pande zote mbili walikufa.

Kwa hiyo, mtawala kuua maelfu ya raia wa nchi yake siyo kitu cha kigeni! In fact, ukitazama historia ya binadamu, asilimia kubwa ya watawala hawakusita kusababisha vifo vya maelfu ya vijana wao kwa kuwatuma vitani - vita ambavyo misingi yake ni pupa na tamaa ya madaraka na rasilimali, wakiwadanganya kuhusu nia halisi za vita hivyo. Joseph Stalin alisababisha vifo vya Warusi takribani 20,000,000; Hitler: 6,000,000; Pol Pot (Cambodia): 1,000,000, Pinochet... Wengine wameua maelfu ya wananchi kama namna ya kudhibiti mawazo yeyote yanayohatarisha uendelezi wa madaraka yao.
 
Back
Top Bottom