Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
Mkuu upo vizuri
Ahahaaa....I had to bitch slap that fool to put him in his place.
I'm done now, though.
Mkuu upo vizuri
Mkuu huyo wala asikupe shidaNyie watu wazima na heshima zenu bana... plse cool down...!! What is all these about..!?
Take easy..easy..!!
Peace.. peace...!!
militia = mgamboHivi wewe unaakili kweli!!?
Napoteza muda aisee!!
Unaelewa maneno haya
All members of the National Guard of the United States are also members of the militia of the United States!!?
All members-
Are Also-
Kwahiyo hoja yako ni nini sasa maana sijakuelewa???. kwamba police haiwezi kuwa jeshi kwa maana ya tafsiri ya neno jeshi au sababu ipi??Sheria za mkoloni zinapiga kazi hadi leo wahusika wameshindwa kujiongeza? Kujiongeza ni kubuni mifumo mipya sio kutumia ya watu. Huwezi kukifanya kifaa hicho unachotumia kuandika jf kiitwe gari, waliokiasisi walikipa jina lake ili uweze kukitofautisha na gari. Usitoke nje ya point.
Mbona hapa Tanzania wanaita jeshi la police .national guard is different Na us armyKiuhalisia unapotamka neno jeshi maana yake ni jeshi kama lilivyo. Ukisikia jeshi la Marekani limelipua mabomu Syria hakuna swali kuhoji ni jeshi la mgambo au jeshi gani, itajulikana ni US ARMY Marekani kuna mgambo wanaitwa mgambo(militia), wana polisi wanaoitwa polisi sio jeshi la polisi kwa sababu kiuhalisia polisi sio jeshi.
jombaa hao ni kama mgambo tu soma vizuri au tatizo ni lugha?Soma hapa maana ya National Guard USA!
National Guard of the United States - Wikipedia, the free encyclopedia
National Guard Deployed to Charlotte - Businesses Closed
Tafsiri misamiati ya 'jeshi' na 'vita' kwa kiingereza. Kama umeshindwa usi-quote post yangu.Kwahiyo hoja yako ni nini sasa maana sijakuelewa???. kwamba police haiwezi kuwa jeshi kwa maana ya tafsiri ya neno jeshi au sababu ipi??
Na nimekuuliza unalijua lengo la taifa lolote kufanya hivyo au ni bahati mbaya?????
Sio kwamba ni kama mgambo, bali ndo mgambo wenyewe. Militia ni mgambo.jombaa hao ni kama mgambo tu soma vizuri au tatizo ni lugha?
Acha upimbi mbona mwoga.maswali yanakuzidi kimo nini???Tafsiri misamiati ya 'jeshi' na 'vita' kwa kiingereza. Kama umeshindwa usi-quote post yangu.
Polisi ni nini?Acha upimbi mbona mwoga.maswali yanakuzidi kimo nini???
Nitaku quote mpaka utakapoelewa unachobisha ni kitu gani.
Unataka ulazimishe polisi ya kitanzania iwe kama police ya marekani sababu wote wanaitwa polisi.
Tz tuna jeshi la polisi kwa mujibu wa katiba yetu.nimekuuliza unadhani iliwekwa bahati mbaya au ni kwa kutokuelewa, hujibu badala yake unarukaruka tu.na kuendelea kuleta hisia na mitazamo.
Kifaa cha kuzuia uharifu.Polisi ni nini?
Kwahiyo hao mgambo wa Marekani ni polisi? Au unataka kusema kampuni binafsi za watu zinazopewa kazi ya kulinda maduka, baa na mashule dhidi ya waharifu nao waitwe polisi kwa sababu ni vifaa vinavyozuia uhalifu?Kifaa cha kuzuia uharifu.
Hapa mkuu unapoteza tu muda. I suggest you ignore the personHivi wewe unaakili kweli!!?
Napoteza muda aisee!!
Unaelewa maneno haya
All members of the National Guard of the United States are also members of the militia of the United States!!?
All members-
Are Also-
Kwani Polisi anaposhika lile SMG hapa bongo hayupo Armed ? Kwamba kwa sababu ni Polisi basi SMG inageuka Lollypop ?Reserve US military force hata hiyo pia unataka kubisha? Armed forces maana yake nini?
Mwambie asipoteze muda wake kuleta ujinga wake.Hap
Hapa mkuu unapoteza tu muda. I suggest you ignore the person
We mbona ni mgambo haoNakushauri usikurupuke kubishia usiye yaelewa .
Nakuacha NA upofu wako
Ila usome hii kitu
militia /mᵻˈlɪʃə/[1] generally is an army or other fighting unit that is composed of non-professional fighters, citizens of a nation or subjects of a state or government who can be called upon to enter a combat situation, as opposed to a professional force of regular, full-time military personnel, or historically, members of the warrior nobility class (e.g., knights or samurai).
Unable to hold their own against properly trained and equipped professional forces, it is common for militias to engage in guerrilla warfare or defense instead of being used in open attacks and offensive actions.
Kwaheri
Mkuu embu pita vile utachoka hapa.Kwani Polisi anaposhika lile SMG hapa bongo hayupo Armed ? Kwamba kwa sababu ni Polisi basi SMG inageuka Lollypop ?
The scenario is just starting to unfold, and the worst is still to come. Decades of planning by the "Elite"is now bearing fruit. Pretty sad for the poor Americans. Their country has been tsken hostage!Raia wa USA walizoea kuangalia tu kwenye TV jinsi Jeshi lao linavyosurubu raia wa nchi nyingine oversees, sasa kama wenyewe wasemavyo chickens coming home to roost, baada ya raia wa USA aliyetokea kuwa na rangi nyeusi kama mimi na mwenye asili ya kwetu Afrika kupigwa risasi kwa mara nyingine tena na Askari wa USA ambao kwa kawaida wanapaswa kumlinda, Raia wa USA wameingia barabarani kupinga, Polisi wa USA wamezidiwa na sasa Jeshi la USA (National Guard) limeagizwa kufanya kazi ya kusurutisha raia wa USA!
National Guard of the United States - Wikipedia, the free encyclopedia
Gavana wa Jimbo la North Carolina Patt Mccrorry, ameagiza Jeshi kuingia barabarani!
Polisi wamezidiwa nguvu!
Wizi na uharibifu wa mali unaofanywa na waandamanaji raia wa USA hao!