Obama aendelea kung'ara

Wewe umekariri talking points za Democratic party, sidhani kama umetafakari fizuri haya mambo.


umeshawahi kumsikiliza romney wewe? umeshawahi kumuona akipanua mdomo wake? mskize afu ndo utajua kama ana lolote la maana anaongea
 
Usiangalie kiasi cha kodi, angalia amound ya pesa aliyo nayo mtu.
Obama ana kipato cha chini kuliko Romney
Kodi aliyolipa Romney ni ya kiwango cha kipato cha kati ambapo alitakiwa kulipa % si chini ya 33, amejitahidi kukwepa kwa kusingizia kwamba amepeleka pesa kusaidia jamii.

Huu ni uwongo. Kipato cha Romney ni capital gains. Capital gains huwa zinatozwa kodi mara mbili. Ukijumlisha kodi zote utaona Romney ameilipa serikali asilimia kubwa kuliko Obama. Wacha kukariri talking points za Democratic party. Jaribu kufanya utafiti mwenyewe.
 
mie nawashangaa watu wanaomshabikia obama,what has he done so far?sana sana ametuonyesha damu ya kiafrika inayorun in his veins kwa kumattack romney personaly, instead ya hoja too hopeless.hata hivyo u cant expect anything from a nigga, they are only good in sex and dance
 
mtasema sana,Obama lazima ashinde,vijana tunampigia kampen ya nguvu na kuna support ya media kwa Obama fatilia ilop utaliona
 
Someone_s_Claiming_to_Be_Holding-76165771a5f9e334812dd7bd24dd3101
 
Back
Top Bottom