OBAGI ni kitu gani?

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,637
68,566
Wanabodi nilijaribu kupitia bulogu ya muke ya muzungu nikaona anasema kwamba obagi imeingia feki nchin na yeye kama balozi wa obagi amewatahadharisha watu wasinunue na akasema obagi original ni usd500 sasa najiuliza,hii obagi ni nini? Na what so special kwa hyo kitu? Je inatumika kwa wanawake tu au hata wanaume wanatumia? Je nini lotion,pafyum,maji au mkorogo?
 
Msela hata kugugo? Wacha uvivu bana...
 
Back
Top Bottom