O.m.g...........!!! Huyu ndio kawa hivi????

DON KILLUMINATI

Senior Member
Jan 2, 2011
193
83
37444_132101613475451_100000268407034_286963_4330194_n.jpg


HUYU SI NDIO YULE JAMAA ALIKUWA MNENEEEEE!!! DUH??
 
HUYU jamaa na mie nilimwona live kweli sikuamini. Kawa Potable hata totoz sasa atazinasa kiulainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
hamna afro ...tatizo we sijui kwa nn presha ilikupanda baada ya kumuona ..tuambizane mapema dear

sababu najua hizo ndo za BOngo
mtu aki loose weight kwa afya anaambiwa ana mdudu..

mtu akinenepa sana ana magonjwa ya moyo ...
mie ndo maana nachokaga..
 
sababu najua hizo ndo za BOngo
mtu aki loose weight kwa afya anaambiwa ana mdudu..

mtu akinenepa sana ana magonjwa ya moyo ...
mie ndo maana nachokaga..

wallah usjali mm nipo tayari tufe wote na hakuna haja ay kupima
 
Back
Top Bottom