Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
Ukistaajabu ya walimwengu.....
Mtafiti mmoja huko Australia ameamua kumpa nzi aliyekua amesahaulika katika insect collection toka akamatwe mwaka 1981, jina la Scaptia (Plinthina) beyonceae. Eti kisa nzi huyo ni so bootylicious na kwavile mwaka 1981 ndio mwaka aliozaliwa Beyonce!!!
Beyonce Gets Fly With Golden Booty Named After Her