Elections 2010 Nzega, Urambo na Igunga vipi?

Kiwalani

Senior Member
Feb 25, 2010
129
12
Wakuu, naomba kama kuna taarifa ya wagombea ubunge mkoani Tabora, hususan Nzega, Urambo na Igunga .... mwenye taarifa naomba azimwage hapa.
 
Urambo SS anapambana vikali na Ally maswanya, Nzega selelii amebanwa vibaya na Husen bashe kiasi jana selelii alizomewa sana hadi akashindwa kujieleza, Igunga RA anapeta
 
Maana taarifa nilizozipata zamani ni kwamba Bashe (Nzega) na Ally Maswanya (Urambo) wametumwa na RA
 
Urambo SS anapambana vikali na Ally maswanya, Nzega selelii amebanwa vibaya na Husen bashe kiasi jana selelii alizomewa sana hadi akashindwa kujieleza, Igunga RA anapeta

Nyongeza: Urambo SS anapambana vikali na Ally maswanya + Dr Mganilwa mhadhili mwandamizi toka SUA -kwa mujibu wa magazeti ya Mzalendo Mwananchi na Habari leo.
 
Back
Top Bottom