Nywele za kwapani,,,,!

Kufuga minywele ni uchafu..Si kwa wanawake tuu hata wanaume nao wanaofuga minywele kwapani na kule sehemu sehemu ni uchafu..
 
Mmmm,apana kwakweli hazipendezi hataiweje, azioshe azifue lakini apana mwanamke usafi hasaa wa mwili...
 
Mwanamke hatakiwi kua na nywele sehemu yoyote zaidi ya kichwani.

unakosea nywele popote pale ilipo kwa mwanamke ni urembo ambao una jina lake na matumizi yake. zinatofautishwa kiutunzaji tu. zikiwa usoni juu ya macho zitaitwa nyusi na zitatindwa na kupakwa wanja. zikiwa kwenye vifuniko vya macho zitaitwa kope na zitapakwa mascara, zikiwa kichwani zitatengenezwa kwa staili ya mwenye nywele na zikiwa kwapan ama kwa bibi zitaitwa vuzi na zitatunza kuwa fupi kiasi na wala siyo kipara kabisa manake zapendeza zikiguswa guswa ishu hapa ni zisikue sana yaani ziwe ndogo amabazo zinapapasika. zikzikua sana ni uchafu na ukinyoa uparata ni mtoto tena.
 
Hivi gfsonwin unajua kua mwanamke ambae hana nywele ni mtamu kuliko yule ambae ana nywele. Nywele ni uchafu sio usafi
 
Aaaahhh i hope unatania charmin lady jamani kule inabidi kue kusafi kumenyolewa kunapendeza na hiyo ni kwa wote men and women

mwe nani kakwambia pakiwa na nywele ni uchafu? sema hujakutana na anayepahudumia na kupatunza vyema. utadata nakwambia!
 
mr Leo ni lazima ushangae, kwanza hazichaniki, unaziacha za nini? mpaka zingine zinakuwa na rangi utadhani mvi, raa hasha huu c uungwana? utu ni usafi m2 kama huyo crahic hata kufanyia usafi nguo zake za ndan.
 
Hata mimi naona uchafu tu. Awe me au ke kufuga nywele sehemu ambayo hewa haizunguki ni uchafu. Huyo ungemsogelea angekuwa ananuka kikwapa na hili joto. Hata kama ana prerfume inakuwa na harufu ya kipekee; perfume+Jasho.

Kabla sijaoa, niliwahi kuambiwa na mama mtu mzima ambaye tulikuwa naye kwa karibu na mahusiano yetu yalikuwa ya mama na mtoto, akisema "ukimwona mwanamke au mwanaume ana nywele ndefu za kwapani, basi hata za huko chini ni ndefu. Tena muhesabu kuwa ni mchafu zaidi ya yule asiyefua nguo. Tena usishangae hata ktk via vyake hajui kusafisha."
 
hata usiponyoa nywele za kwapani kwa miaka mitano haziwezi kufikia inchi tano,,,
achaga masihara basi mkuu
 
kumbe ni fashion, acha na mie nianze kuachia lol.............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom