Nywele sehemu za siri na makwapani

dropingcoco

Senior Member
Jun 21, 2008
124
11
Wana JF, ningeomba kufahamishwa nywele sehemu za siri na makwapani zina faida gani? na kwa nini tunazinyoa
 
Naomba niiweke kwa kiyungu ili ieleweke vyema. Hakuna mwenye uhakika hivyo kuna theories nazo ni :

warmth (kuweka hali za joto kwenze sehemu ya siri)
visual indicator of sexual maturity (Inaashiria kubalehe
collection of secreted pheromones ( hizi ni kemikali zinazotolewa baada za kupata ashki na kuongeza hamu ya kujamiiana)
reduction of external friction during sexual intercourse Kuounguza msuguano wakati wa kujamiiana)
since the pubic area is sensitive (as the head of penis is) hair helps to protect said area
Willy
 
hivi eeeh!!!
 
naomba niiweke kwa kiyungu ili ieleweke vyema. Hakuna mwenye uhakika hivyo kuna theories nazo ni :

Warmth (kuweka hali za joto kwenze sehemu ya siri)
visual indicator of sexual maturity (inaashiria kubalehe
collection of secreted pheromones ( hizi ni kemikali zinazotolewa baada za kupata ashki na kuongeza hamu ya kujamiiana)
reduction of external friction during sexual intercourse kuounguza msuguano wakati wa kujamiiana)
since the pubic area is sensitive (as the head of penis is) hair helps to protect said area
willy
asante sana willy
 
Hakuna kunyoa nywele zozote, iwe kichwani, kidevuni, kifuani, kwapani, sentro etc.
Funga saluni zote za kunyoa......ras tafarai
 
yah ras tafarai.......kazi ipo...ila wanaume wangechekesha sana
 
Wana JF, ningeomba kufahamishwa nywele sehemu za siri na makwapani zina faida gani? na kwa nini tunazinyoa
hahahahaha kuna maswali mengine yanaudhi sana....ziache kwa mwaka mzima uone balaaa lake.....try and see.....
 
watu hawataki kujiswafi wakwetu...tena ngoja nimcheck maria roza kuna kirimu kimoja cha kujiswafi anacho kizuri kweli

kuna kitu kisafi aliweka maria roza mi nikamuuliza cream gani wanatumia kushevu siku pata jibu....hebu nidakulie na mimi wa kwetu

kufuga hizi kitu hapana kwa kweli......
 
usijali wa kwetu nikikipata nakudakulia...bado hajaamka saa hizi
 
watu hawataki kujiswafi wakwetu...tena ngoja nimcheck maria roza kuna kirimu kimoja cha kujiswafi anacho kizuri kweli

hivi wa kwetu huyu willy anaongela nywele na friction mbona sijaelewa au ndo kiinglish kinanitatiza mie???
 
nimejaribu kufuatilia kwa kweli hata mimi kimenipiga chenga...kuna mahali anasema protection ya the head na hizo nywele hapo ndio kanimix kabisaaaa
 
Kichwa kipi unazungumzia hapo Preta? Hiki nachokijua mimi au nisome katikati ya mistari?
 
hehehh JF hasa mna visa ......katika dunia ya sasa ambayo una vaa nguo na kupaka kila aina ya deodorant, kama nywele hizo zimekosa nafasi yake hivi!

but ukipenda waweza kuziwacha........but plz dont come near me
 
don't worry you will find your way across the bush,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom