Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda uzazi.Matumb makubwa kwa wanaawake husababishwa na nn
duhKama una matatizo ya nywele, bofya hapa: Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay
Tatizo ni akili za mwendokasi..Madaktari wana kawaida moja. Wakimtbia mgonjwa au kumpa ushauri wanataa kujua anaendeleaje. Tatizo la wanaoomba ushauri hapa JF Doctor, wakipewa ushauri wa kitaalam kabisa wanaingia mitini. Aliyetoa ushauri hapati feedback kama ushauri ule umesaidia au la ili afikirie kama kuuboresha au kuendelea nao. Personally hicho kitu ndicho kimenipunguzia "mzuka" wa kutoa ushauri under JF Doctor forum.
Nimekukubali sana mkuu yaani umeniwekea mambo yamekuwa mterezo bhana big up.....Habari wana JF,
Hii thread imekusanya topic zote zilizokuwa sticky's zikiwa awali zimewekwa kwa urahisi wa kuwafikia/kuipata watumiaji mbali mbali ambao wanahitaji kuelewa baadhi ya mambo katika baadhi ya threads.
Hii ni moja ya njia ya utatuzi wa kupunguza idadi za Sticky's katika Jukwaa.
ELIMUTIBA: Jinsi ya kujieleza kwa Daktari
Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu sehemu za siri: Dalili na Matibabu yake
Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)
Punyeto: Nini madhara yake?
Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?
Kufanya ngono wakati wa hedhi
Uume kusinyaa
Homa ya Degedege Ni Nini?
Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka!
Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice
Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala
Ugonjwa wa Vidonda Vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri
Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili
Having sex with a pregnant woman: What time (month) in her pregnancy I have to stop?
Fahamu matumizi na faida za asali katika afya ya binadamu
Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa
Kunuka kikwapa: Ni ugonjwa au uchafu?
Kufanya Ngono kinyume na Maumbile
Njia gani za kutumia ili kuacha kabisa unywaji wa pombe?
Kuchutama (Squatting) Njia Salama ya Kwenda Haja
Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?
Tatizo la uke kutoa harufu kali | Vaginal Odor(smell)
Fahamu kuhusu Mabusha (Hydrocele)
Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]
Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)
Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri
Tohara na UKIMWI
Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...
Chembe ya moyo ni nini? Inatokana na nini?
Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake
UHANITHI baada ya kitovu cha mtoto kukatika na kudondokea sehemu zake za siri
Dawa na njia mbadala ya kuotesha na kurutubisha nywele kwa wenye vipara
Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)
Mwanaume kuwa na sauti nyembamba, kuota matiti, kuwa na mahips/wowowo yaliyotuna
Tatizo la kutoshika mimba
Kifafa cha mimba
Je shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?
Kutokwa Damu kwenye Fizi: Ni ugonjwa au Ukosefu wa vitamini?
Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili
Kujisikia kichefuchefu na kutapika wakati wa ujauzito (Morning Sickness)
Tatizo la Kuvimba Miguu: Chanzo, Ushauri, dawa na tahadhari (pamoja na wajawazito)
Msaada: Nifanyeje niache kujichua/kupiga punyeto
Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake
Kuzamia Chumvini si Kuzuri?
Maumivu makali ya tumbo wakati wa kuanza hedhi (period)
Wanawake: Tatizo la Kutokwa na Uchafu Ukeni na jinsi ya kukabiliana nalo
Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu
Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation)...
Harufu mbaya mdomoni (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri
Ujue ugonjwa wa Mba na Tiba yake
Ulaji wa Pilipili: Faida na athari zake
Ushauri na Tiba ya kikohozi na mafua
Ushauri na Tiba ya kikohozi na mafua kwa watoto
Pamoja Sana,
AshaDii.
Mkuu nikuulize, hivi kuna tiba ya tatizo la kutockia vizuri ikiwa imetokea tu yaani co tatizo la kuzaliwa nalo, naomba majibu plizHabari wana JF,

https://www.jamiiforums.com/jf-doct...mbu-kuvimba-kwake-na-ushauri-wa-matibabu.html
Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu
Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation)...
Harufu mbaya mdomoni (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri
Ujue ugonjwa wa Mba na Tiba yake
Ulaji wa Pilipili: Faida na athari zake
Ushauri na Tiba ya kikohozi na mafua
Ushauri na Tiba ya kikohozi na mafua kwa watoto
Pamoja Sana,
AshaDii.
Nmefurah kuanzishwa kwa uzi huu. Ila nina tatizo ambalo nmehangaika sana hospital nying lkn cjapata nafuu. Tatizo Langu. Nikwamba nasikia maumivu mgogongon pia miguu na mikono inachochoma sana. Tafadhar msaada wenu. Nimehangaika sana

Dawa yao inachemka.Mkuu ZeMarcopolo Ni kweli unayoyasema mimi wengi ninawapa ushauri wangu lakini wakisha pona hawaji kuleta Feedback ndio walivyo Wa-Tanzania matatizo yao wakishapona tu wamesahau wapi waliposhauriwa mpaka kupona waonee huruma hawa Wa-Danganyika mkuu wasamehe hawajuwa watendayo kwani Tabia haina dawa.
Umewahi kupima vidonda vya tumbo?Nmefurah kuanzishwa kwa uzi huu. Ila nina tatizo ambalo nmehangaika sana hospital nying lkn cjapata nafuu. Tatizo Langu. Nikwamba nasikia maumivu mgogongon pia miguu na mikono inachochoma sana. Tafadhar msaada wenu. Nimehangaika sana
Hiyo dawa huwa ina saidia nn mkuu...?[jamani kunawatu baada ya kuhakiki na kuona kweli hii mizizi inafanya kazi kama nlivosema, wameanza kunipigia simu na kusema eti wao ni madaktari na watafiti wanaomba kuifanyia utafiti na tuingie ubia.! Wengine eti niwauzie kwa bei ya jumla.
Tafadhali nasema hivi, dawa siiuzi na wala sihitaji mtafiti wala daktari bingwa hapa!! Maana nawafaham nyie na kujifanya kwenu eti watafiti. Sitaki.
Dawa nawasaidia wanaume wenzangu bureee! Sihitaji usumbufu na kamwe sitamtajia mtu jina la huo mmea hata uje na bilioni.