Mijadala ya Matatizo ya Magonjwa mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,076
Habari wana JF,

Hii thread imekusanya topic zote zilizokuwa sticky's zikiwa awali zimewekwa kwa urahisi wa kuwafikia/kuipata watumiaji mbali mbali ambao wanahitaji kuelewa baadhi ya mambo katika baadhi ya threads.

Hii ni moja ya njia ya utatuzi wa kupunguza idadi za Sticky's katika Jukwaa.

ElimuTiba: Jinsi ya kujieleza kwa Daktari - JamiiForums

Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu sehemu za siri: Dalili na Matibabu yake - JamiiForums

Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts) - JamiiForums

Punyeto ni nini na nini madhara yake? - JamiiForums

Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike? - JamiiForums

MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi? - JamiiForums

Uume kusinyaa - JamiiForums

Ifahamu Homa ya Degedege; Chanzo, dalili na tiba - JamiiForums

Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice - JamiiForums

Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice - JamiiForums


Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri - JamiiForums

Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili - JamiiForums

Having sex with a pregnant woman: What time (month) in her pregnancy I have to stop? - JamiiForums

Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu - JamiiForums

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa - JamiiForums

Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo - JamiiForums

Kwa nini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile? - JamiiForums

Ushauri: Njia za kutumia ili kuacha kabisa unywaji wa pombe na ulevi uliopitiliza - JamiiForums

Kuchutama (Squatting): Njia Salama ya Kwenda Haja - JamiiForums

Ni umri gani sahihi wa kumtahiri mtoto wa kiume? - JamiiForums

Tatizo la uke kutoa harufu kali | Vaginal Odor(smell) - JamiiForums

Fahamu kuhusu Mabusha (Hydrocele) - JamiiForums

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga] - JamiiForums

Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido) - JamiiForums

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri - JamiiForums
Tohara na UKIMWI - JamiiForums

Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako... - JamiiForums

Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini? - JamiiForums

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake - JamiiForums

UHANITHI baada ya Kitovu cha Mtoto kukatika na kudondokea Sehemu zake za Siri - JamiiForums

Dawa na njia mbadala ya kuotesha na kurutubisha nywele kwa wenye vipara... - JamiiForums

Tatizo la kuwa na muwasho sehemu za siri - JamiiForums

Mwanaume kuwa na sauti nyembamba, kuota matiti, kuwa na mahips/wowowo yaliyotuna - JamiiForums

Tatizo la kutoshika mimba - JamiiForums

Elimu kuhusu Kifafa cha Mimba: Fahamu Chanzo, Dalili, Tiba na Tahadhari - JamiiForums

Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza? - JamiiForums

Kutokwa Damu kwenye Fizi: Ni ugonjwa au Ukosefu wa vitamini? - JamiiForums

Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili - JamiiForums

Kujisikia kichefuchefu na kutapika wakati wa ujauzito (Morning Sickness) - JamiiForums

Tatizo la Kuvimba Miguu: Chanzo, Ushauri, dawa na tahadhari (pamoja na wajawazito) - JamiiForums

Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake - JamiiForums

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya? - JamiiForums

Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea) - JamiiForums

Wanawake: Tatizo la Kutokwa na Uchafu Ukeni na jinsi ya kukabiliana nalo - JamiiForums

Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu - JamiiForums

Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation) - JamiiForums

Harufu mbaya mdomoni (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri - JamiiForums

Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake - JamiiForums

Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu - JamiiForums

Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua - JamiiForums

Naomba ushauri na tiba ya kikohozi na mafua kwa watoto - JamiiForums

Bawasiri/Hemorrhoids: Ugonjwa wa kuota vinyama sehemu za siri; chanzo, dalili, tiba na kinga - JamiiForums

Pamoja Sana,

AshaDii.
 
Madaktari wana kawaida moja. Wakimtbia mgonjwa au kumpa ushauri wanataa kujua anaendeleaje. Tatizo la wanaoomba ushauri hapa JF Doctor, wakipewa ushauri wa kitaalam kabisa wanaingia mitini.

Aliyetoa ushauri hapati feedback kama ushauri ule umesaidia au la ili afikirie kama kuuboresha au kuendelea nao. Personally hicho kitu ndicho kimenipunguzia "mzuka" wa kutoa ushauri under JF Doctor forum.
 
Madaktari wana kawaida moja. Wakimtbia mgonjwa au kumpa ushauri wanataa kujua anaendeleaje. Tatizo la wanaoomba ushauri hapa JF Doctor, wakipewa ushauri wa kitaalam kabisa wanaingia mitini. Aliyetoa ushauri hapati feedback kama ushauri ule umesaidia au la ili afikirie kama kuuboresha au kuendelea nao. Personally hicho kitu ndicho kimenipunguzia "mzuka" wa kutoa ushauri under JF Doctor forum.
wakati mwingine sio kuwa tunakimbia la hasha tunaufanyia kazi ushauri wenu na uwa hatukati tamaa ndio maana tunasubiri kwa muda mfano mi mmenisaidia siku ya kupata mimba nimeanza kuulizia toka mwz wa 2 mwezi wa tano ndio nashika mimba unaona muda unavyokuwa mrefu wa kusubiri majibu ila sijawasahau maana ndio ya kwanza nashukuru.
Pia naomba tena ushauri jinsi ya kuutunza maana ni ya kwanza
 
Msaada tafadhali... Wakati wa MP Binti yangu anaumwa sana anapata homa anatapika anaharisha si chini ya siku 4. Msaada niangalia nyuzi ipi? Asantee
 
Hapo mmefanya jambo jema sana mtu hawezi hangaika kuulizia huku huku na huko
 
kuna jamaa yangu hana tatizo la kutokwa na malenge lenge kwenye sehemu za siri tunamsaidiaje mtu huyo.
 
Ndugu jamaa zangu,
Kwanza kabisa niseme kwamba mm sio daktar
wala si mfanyabiashara wa madawa na
sijawahi fanya hivyo wala kufikiri kufanya hivyo.
Lakini nimeamua kuleta hii ishu hapa kwa
manufaa ya watu wenye tatizo na uhitaji wa
hiki nitacho kieleza, almost FREE!!
Nilivokua chuo kuna room mate wangu mmoja
alitoswa na mabinti kama 5 hivi. Mm na
wenzangu hatukujua n kw nn jamaa alikua
akitoswa na kila binti.
siku moja yule jamaa alinifungukia kwamba
anatatizo la UUME WAKE KUWA MDOGO SANA
HATA UKISIMAMA na HANA NGUVU ZA KIUME.
yaan akianza tu kumchezea binti, akiingiza tu
bac anamwaga! Kwakweli nilimuonea huruma
na aliponionesha maumbile yake nlishangaa
kuona udogo ule.
Ndipo nlikumbuka kuwa kule ziwa nyasa
nlikokulia kwa mjomba, nliwahi ckia watu
wanasema kuna mzizi mmoja hiv watoto
hatutakiwi kula kwan tutakua na uume mkubwa
sana. Ilikua n miaka ya nyuma sana enzi hizo
nikiwa darasa la pili.
Kutokana na kuona tatizo la huyu jamaa
niliwaza kama ile mizizi bado itakuwepo? Na
kama ipo nitaendaje nikachimbe?
Mwez wa pili mwaka huu kulitoke a mcba kule
nyasa na nlilazimika kwenda kuwakilisha familia
kwan n mm tu ndo nlikua cpo shule. Nlivofika
kule nlikuta ile mizizi ipo japo kwa uchache
sana kwan milima mingi imepukutika. Kwa siri
nilichimba na kuweka kwenyebegi kiasi kdogo
cha ile mizizi. ckutaka kuonekana maana watu
wangenihic vbaya.
Wakati narud nlivofika Njombe nlimpigia jamaa
yule ambaye alikua mbeya na tukakutana
makambako ambapo nilimpa na kumwelekeza
matumizi kuwa atafune kila cku anavolala.
Huwezi amini kilichotokea. Baada ya siku kama
24 hv kupita jamaa alinipigia na kusema
ameona maajabu ya ile dawa kwan kle ki shaft
kimeongezeka kama inch 2 na nusu hiv, na
imejaa na inanguvu.
Nilimkataza kuendelea kutafuna maana hatuna
kipimo cha dawa ili isije ikazidi. nilimwambia
aache ili ile aliyotafuna iendelee kufanya kazi.
Lakini mpaka juzi nimekutana nae, yaan kanizidi
hata mm na anasema yuko fit kabisa na kanipa
elf 16 kunishukuru, na vile vimizizi bado
amebakinavyo vingine.
Sasa, nimeamua kusaidia watu wenyeshida
kama hizo for FREE kwan mizizi tumepewa na
Mola bure. Kama unatatizo la nguvu za kiume,
uume mdogo na mwembamba au shida
nyingine, Just ni PM nitakupa maelekezo.
Usihangaike kwa matapeli maana hata yule
jamaa alihangaika sana tu na kupoteza hela
nyingi bila kufanikiwa.
MIMI SIIUZI HII DAWA. ILA INAPATIKANA
MBALI. NI HUKO MANDA ZIWA NYASA. SO,
TUTACHANGIANA TU KIASI KIDOGO SANA
KWAAJILI YA NAULI ILI NIKIPATA NAFASI
NIENDE NIKACHIMBE.
PIA NINA WAZO LA KUIHIFADHI ILE MIMEA
KWANI INAPOTEA. IKIWEZEKANA,
TUSHIRIKIANE KUIHIFADHI HATA KWA
KUIOTESHA HUKO MAPORINI ILI IENDELEE
KUWEPO. NITAFURAHI IWAPO MTANIUNGA
MKONO!
Nitafute pia direct kwa namba 0655951332
AHSANTENI
 
[jamani kunawatu baada ya kuhakiki na kuona kweli hii mizizi inafanya kazi kama nlivosema, wameanza kunipigia simu na kusema eti wao ni madaktari na watafiti wanaomba kuifanyia utafiti na tuingie ubia.! Wengine eti niwauzie kwa bei ya jumla.
Tafadhali nasema hivi, dawa siiuzi na wala sihitaji mtafiti wala daktari bingwa hapa!! Maana nawafaham nyie na kujifanya kwenu eti watafiti. Sitaki.
Dawa nawasaidia wanaume wenzangu bureee! Sihitaji usumbufu na kamwe sitamtajia mtu jina la huo mmea hata uje na bilioni.
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom