Nyumbani wamemkataa mchumba wangu. sababu: mhaya!

Japokuwa huwa napenda sana kuwasikiliza wazazi wangu, lakini kwenye suala la nani wa kuoa hapo huwa siwezi kuwaruhusu wanichagulie na bahati nzuri wazazi wangu sio wa kihivyo. nakushauri ufuate hisia na maamuzi yako wewe kama wewe maana hata wao wazazi hatujawashauri sie waoane. Mkuu, akili za kuambiwa changanya na zako halafu upate jibu sahihi litakalokufanya ufanye maamuzi ya busara. LIWALO NA LIWE!!!
 
ah umenikumbusha mbali sana!ahahahahahhahahhaha
ha haaaaaaa, kingoni chenyewe cha ku-ungaunga. yaani nikiongea ni kama nafanya mtihani....... kupata sentensi ya maneno kumi pure ngoni lazima nifeli, maneno hayaji kabisa. ila naelewa kila kitu
 
ha haaaaaaa, kingoni chenyewe cha ku-ungaunga. yaani nikiongea ni kama nafanya mtihani....... kupata sentensi ya maneno kumi pure ngoni lazima nifeli, maneno hayaji kabisa. ila naelewa kila kitu

yah na mimi ni hivo hivo kingoni nasikia vizuri tu!bibi yangu ndo alikuwa anatuongelesha kingoni akija hom!yani nimecheka ulivonijibu!kha!
 
Mtu hapangiwi mume au mke, bali ni maamuzi binafsi. Kuhusu kabila gani zuri.......Makabila yote ni mazuri na makabila yote ni mabaya, hapa namaanisha kuwa Tabia mbaya ni ya mtu mwenyewe, si muhaya, mngoni, mchaga,au yeyote umjuae.

Ushauri wangu: Endelea kumpenda mchumba wako hata kama hakubaliki, ni wewe ndie utakayemfanya akubalike katika jamii haswa nyumbani kwenu.
 
yah na mimi ni hivo hivo kingoni nasikia vizuri tu!bibi yangu ndo alikuwa anatuongelesha kingoni akija hom!yani nimecheka ulivonijibu!kha!
nahisi ulijishangalia tu kwamba huyu ni mngoni au kaolewa na wangoni kwa hiyo kajifunza ili angalau aweze kusalimia wakwe zake, lol!
 
nahisi ulijishangalia tu kwamba huyu ni mngoni au kaolewa na wangoni kwa hiyo kajifunza ili angalau aweze kusalimia wakwe zake, lol!
ulivosema tu tutake radhi kwa yule nani sijui,nikajua huyu ameumizwa sana,kafedheheshwa sana na kuonewa sana kama mimi kwa post ya huyo jamaa eti kuwa wangoni wanapenda kuchungulia walikotoka!nikajua wa kunyumba huyu!
 
si ndo nilipomwambia atutake radhi!
 
Duh..naanza kufikiria na mimi nitakapo present hili wazo langu kwa wazee naanza kutengeneza maswali na majibu yake..ila naamini watakubaliana na chaguo langu..
 
Wadau
nipeni ushauri nipo njia panda. ni kweli sababu waliyonipa kuwa wahaya wana tabia mbaya?

mi ni mngoni, nishauri!!

Tabia mbaya haiendani na kabila la mtu. Nilikuwa na mchumba, ambaye baadaye nilimwoa bila ridhaa ya wazazi. Lakini nilikuja kumtaliki. Alikuwa kabila moja na mimi, lakini wazazi waliona mbali, alikuwa na tabia chafu... zaidi ya mbaya.

Kaa chini na wazazi, ongea nao. Wana maono, ni karama waliyopewa na Mola. Waulize wakuambie kama kuna zaidi ya kabila la huyo mchumba wako. Wakupe sababu za maana. Usijali ya ndugu kama vile mjomba, shangazi, n.k. Kaa chini na baba na mama PEKEE!
 
Wadau
nipeni ushauri nipo njia panda. ni kweli sababu waliyonipa kuwa wahaya wana tabia mbaya?

mi ni mngoni, nishauri!!

Mkuu sikiliza maoni ya wazazi maana kuna makabila mengine noma kweli umaweza juta kwa sababu ya tabia zao ukawa umeleta matatizo kwenye familia na uko kwa ujumla
 
Kabla cjakushauri nakupa homework, rudi kwa wazazi waulize wao wanataka uoe kabila gani? Then rudi tuambie hayo makabila,ushauri utaanzia hapo. Maana nimeona wewe uliposema ni mngoni kuna comments zimetolewa khs wangoni hapa. Sasa ukitaja hayo makabila labda wadau wata-come up na points muhimu ambazo zitakusaidia ktk huo mpambano.
 
kuwa makini na maneno ya wazazi, kwa asilimia 50%+ huwa wanaafiki ukweli....Me mwenyewe nipo na mtoto wa kihaya nampenda kupindukia, lakini kuna rafiki yangu wa kihaya(kiume) kesha ni alati
 
Back
Top Bottom